Simba SC kukutana na miamba hawa

Simba SC kukutana na miamba hawa

KAGAMEE

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2013
Posts
4,457
Reaction score
5,454
PLAY OFF CAF CCC KUWAKUTANISHA

πŸ‡ΉπŸ‡Ώ Simba SC
πŸ‡¨πŸ‡© Tp Mazembe
πŸ‡²πŸ‡¦ RS Berkane
πŸ‡ͺπŸ‡¬ Pyramids
πŸ‡©πŸ‡Ώ JS Kabylie
πŸ‡³πŸ‡¬ Enyimba
πŸ‡ΉπŸ‡³ CS Sfaxien
πŸ‡¨πŸ‡² Coton Sport
πŸ‡ΏπŸ‡¦ Orlando Pirates
πŸ‡ͺπŸ‡¬ Al Masry

Wakati MAKOLO FC wanahangaika kutafuta mchawi ni nani miamba hii inapiga push up.

Sasa ni rasmi wamepewa RED ARROWS washindwe wenyewe.Goli limepanuliwa
 
Caf huwa wanaipendelea sana mikia sijui kuna nini, hapo utashangaa anapangiwa cs sfaxien au cotton sport
We unataman wapewe timu gan hapo?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Bado Gor Mahia, Hearts of Oak, Rivers United na zingine tena nafikiri mpaka zitimie 16.
 
Caf huwa wanaipendelea sana mikia sijui kuna nini, hapo utashangaa anapangiwa cs sfaxien au cotton sport
Mipango mkuu hata wale Al-Ahally huwa hawakutani na tim ngumu hatua za mtoano.

Pia kumbuka Rais wa CAF ni Msouth anatukumbuka kwa kuwapinga Makaburu
 
Kapewa kibonde zaidi ya J. Galaxy
Kibonde wapi, saivi mikia hawana timu. Kama anakaziwa na Dodoma jiji, hiyo Arrow ➑ reds kwa nn isiwapige? Hata Jwaneng Galaxy mlisema hivyohivyo. Kiko wapi sasa? 😁
 
Aah bwana ndugu yangu akili yangu nzito ungenishtua nisitoe siri. Hawa red arrows ni vibonde sana. Tena watapigwa 5 kwa mkapa na kwao watakula 3.
🀣🀣🀣🀣🀣THIS IS SIMBA BRO.
 
Back
Top Bottom