Simba SC kuna mchezaji wa kumuweka benchi Mzize? Nani ana hata robo ya profile ya Mzize?

Simba SC kuna mchezaji wa kumuweka benchi Mzize? Nani ana hata robo ya profile ya Mzize?

Ukitaka kujua simba ni timu iliyojichokea muangalie Chama.

Chama alivyokua simba alikua ni mchezaji tegemezi na hata akiwekwa benchi mashabiki wanaandamna wakitaka aanze ikiwezekana kocha abadili mfumo utakaomnufaisha na kumrahisishia chama uchezaji wake.

Chama kaja Yanga anaanzia benchi na hakuna hata shabiki mmoja wa Yanga anayeshinikiza au anayetaka Chama aanze.

Mtu tegemezi Simba Yanga anaanzia benchi.

Hii inatupa picha Simba ni ya kiwango gani.
 
1. Tuwe wa kweli, Simba pale nani ana profile kama Mzize? Sio simba tu hata azam fc nani? Hamna

2. ligi nzima nani? Amna.

Mzize ni bonge moja la mchezaji, ni yanga tu ina alot of stars. Na bado mzize anapata number. Hivi mnajua kupata number yanga ni kazi kweli kweli. Also

3. Simba nani ananza first 11 ya Yanga? Hamna.

4. Ligi nzima nani anaweza join first 11 ya Yanga? Hamna.

So far hii ligi amna mchezaji hata mmoja anaanza first 11 ya yanga. hata simba. hussein, malone na Debora wanaweza kukaa bench la Yanga . tena mechi za matopeni sio muhimu. wakicheza sana mechi 3 per season.

Tuweni serious. Gab ni kubwa sana. it's alarming.
Huu 'Utopolo' uliomwaga hapa dah! Unaanza kumpa credit baada ya kutakiwa na Wydad?!

Kweli wenye 'AKILI' ni wawili tu.
 
ukiweza njoo na data.

from scoring to dribbling to tackles.

amna ligi hii mchezaji anamfikia mzize. kama yupo mtaje?? sema asiwe wa yanga??
Mzize ni Underated sana lakini ni bonge la player , hata zile 5 against Kolo alitoa Mchango mkubwa sana .Harafu uzuri wake huwa anajirekebisha mara kwa mara ndio hivyo haimbwi sana na Mashabiki.
 
Timu bora ni mafanikio. Ila mpaka sasa hakuna cha maana uto ilichofanikiwa kuizidi simba. Uto ni timu ya kawaida sana.
 
Siku zinavyozidi kwenda mbele unawehuka...😃😃😃
Mzee wa kingereza...
 
Huu 'Utopolo' uliomwaga hapa dah! Unaanza kumpa credit baada ya kutakiwa na Wydad?!

Kweli wenye 'AKILI' ni wawili tu.

sheikh mtaje mchezaji yeyote unaona akifika yanga pale first 11 moja kwa moja.

ligi kuu nzima, hata simba pale mna mchezaji kama Mzize.
 
Fikeni robo fainali 4 au mvuke robo CAF champions ndio mpige kelele. Hakuna timu ya maana inayotamani kushiriki shirikisho.Kwa sasa hamna mnachoizidi simba ila nyinyi ndio mnazidiwa kimafanikio.
quarter finals 4x sio mafanikio. this is a wack record. probably yanga will go all the way to the final if they don't meet Al ahly.

will simba qualify for cafcc, we will be waiting
 
Back
Top Bottom