Wafujo
JF-Expert Member
- Feb 10, 2021
- 451
- 1,006
- Thread starter
- #21
Kwani Bwalya ni mchezaji mbaya?Haya mambo tulishaacha kuamini hadi tumuone anacheza.Tuliambiwa mengi kuhusu Bwalya lakini tulichokiona ni tofauti.
Nyie nyie mlisema Bwalya ni mzuri kuliko Chama.Sifa nyiingi..
Sawa, msimu ujao wala sio mbali...