Simba SC kuweka rekodi Kombe la Dunia 2022

Simba SC kuweka rekodi Kombe la Dunia 2022

Haya mambo tulishaacha kuamini hadi tumuone anacheza.Tuliambiwa mengi kuhusu Bwalya lakini tulichokiona ni tofauti.
Nyie nyie mlisema Bwalya ni mzuri kuliko Chama.Sifa nyiingi..
Kwani Bwalya ni mchezaji mbaya?

Sawa, msimu ujao wala sio mbali...
 
Novemba sio mbali huu uzi kutimia.

#SimbaNguvuMoja.
 
Majina ya kambole,kambale sio ya mchezo wa mpira wa miguu hawa ni waogeleaji wazuri sana.

Unatokea iringa mkuu[emoji23][emoji23][emoji23]petro kambole,ino kambole na baba yao kambole ndo hatari sana yule
 
Novemba sio mbali huu uzi kutimia.

#SimbaNguvuMoja.
Tupe updates
1664834935810.jpg
 
😆 😆 😆 😆 😆 😆 😆 😆 😆 😆
 
Back
Top Bottom