Kwani Bwalya ni mchezaji mbaya?Haya mambo tulishaacha kuamini hadi tumuone anacheza.Tuliambiwa mengi kuhusu Bwalya lakini tulichokiona ni tofauti.
Nyie nyie mlisema Bwalya ni mzuri kuliko Chama.Sifa nyiingi..
πππMajina ya kambole,kambale sio ya mchezo wa mpira wa miguu hawa ni waogeleaji wazuri sana.
Majina ya kambole,kambale sio ya mchezo wa mpira wa miguu hawa ni waogeleaji wazuri sana.
Tupe updatesNovemba sio mbali huu uzi kutimia.
#SimbaNguvuMoja.
Okrah anavaa jezi namba ngapi huko Qatar?Huo uovyo uko wapi hapo?
namba afutatu na tatu.Okrah anavaa jezi namba ngapi huko Qatar?
Okrah anavaa jezi namba ngapi huko Qatar?