Huu uzi umeutendea haki, umeongea kweli ya kweli bila kuingiza utani na upendeleo.Ni kweli Mtani.
Asante Mtani kwa Love and sincere Credits zako za mara kwa mara Kwangu. Nalijua hilo na Ubarikiwe mno.Huu uzi umeutendea haki, umeongea kweli ya kweli bila kuingiza utani na upendeleo.
Andiko hili limfikie Mudy mfadhili wenu.
Ndg yako OKW BOBAN SUNZU naye amependekeza kocha aondoke kwani team ameishindwa.
Hongera mtani kweli una jicho la mpira.
Hawa wanao kukosoa moyoni deep down wanajuunga mkono sema ni waoga kukiri🤣🤣
Unajiona ulivyoPumbavu.
Vipi kuhusu mtani wetu aliyecheza naWakimbizi wa Sudan!Ni mwana Simba SC Mpumbavu ( Fool ) tu ambaye kwa Mpira mkubwa Unaochezwa sasa na Yanga SC ndiyo atakataa na atabisha kuwa Yanga SC hawaendi kuwa Mabingwa tena kwa Msimu huu na kwa mara ya Tatu mfululizo.
Genius / Brainiac.Unajiona ulivyo
Kuliko Aliyekuzaa?
Glenn acheni kumpa Sifa asizostahili anajaza sredi za kijinga jinga hapa JF! Tumweleze ukweli ili abadilikeAsante Mtani kwa Love and sincere Credits zako za mara kwa mara Kwangu. Nalijua hilo na Ubarikiwe mno.
Nimeshawaelezea Yanga SC katika Maelezo yangu na hadi Kuwapongeza unataka niseme nini tena?Vipi kuhusu mtani wetu aliyecheza naWakimbizi wa Sudan!
Unajiona ulivyo wa hovyoWewe tabia yako ya Kubinjuliwa Nyabenga lako umeiacha / umeibadili?
Juha Mmoja Wewe.
Wewe unajiona ulivyo wa hovyo maradufu?Unajiona ulivyo wa hovyo
Mtani kuna wakati unazingua sana.Asante Mtani kwa Love and sincere Credits zako za mara kwa mara Kwangu. Nalijua hilo na Ubarikiwe mno.
Magoli aliyokosa baleke tatizo la kocha lilikua nini?Tatizo la simba sio wachezaji ni coach hajui kutumia wachezaji wake vizuri.
Msamehe bure tu huyo Mbumbumbu wetu kulingana na kauli ya Aden Rage...[emoji2960]Muone huyu nae, sijui yupo dunia ya wapi. Hayo magoli mawili kwa sifuri Simba walifunga dakika ya ngapi kwenye hiyo ngao ya jamii?
Bado haujasema..!!! Na utasema tu..!!! Yaani mpaka usemee..!!!Kipa Ayubu hana tatizo tena kwa Kumuona jana tu nimegundua ana Uimara mkubwa kuliko Mnafiki Mtoto aliyeko ambaye jana baada ya Goli la Pili alikuwa akimcheka Benchini na Mchawi Mwingine aliyeko Likizo ya Kitiba sasa.
Kama kuna Wachezaji ambao nina Hasira nao kwa Kunikera jana ni Mabeki wa pembeni Kapombe, Tshabalala, Kiungo
KWANI kaanzisha nani huu msemo?bado amjasema mpaka mseme