Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Huu uzi umeutendea haki, umeongea kweli ya kweli bila kuingiza utani na upendeleo.Ni kweli Mtani.
Andiko hili limfikie Mudy mfadhili wenu.
Ndg yako OKW BOBAN SUNZU naye amependekeza kocha aondoke kwani team ameishindwa.
Hongera mtani kweli una jicho la mpira.
Hawa wanao kukosoa moyoni deep down wanakuunga mkono sema ni waoga kukiri🤣🤣.
Lkn badilika uache matusi haipendezi