Simba SC kwa aibu kubwa ninayoiona inakuja na kwa upuuzi wa Ndola jana, tuwape Yanga SC nafasi yetu AFL ili wakaliheshimishe Taifa

Simba SC kwa aibu kubwa ninayoiona inakuja na kwa upuuzi wa Ndola jana, tuwape Yanga SC nafasi yetu AFL ili wakaliheshimishe Taifa

Ni kweli Mtani.
Huu uzi umeutendea haki, umeongea kweli ya kweli bila kuingiza utani na upendeleo.
Andiko hili limfikie Mudy mfadhili wenu.

Ndg yako OKW BOBAN SUNZU naye amependekeza kocha aondoke kwani team ameishindwa.
Hongera mtani kweli una jicho la mpira.

Hawa wanao kukosoa moyoni deep down wanakuunga mkono sema ni waoga kukiri🤣🤣.

Lkn badilika uache matusi haipendezi
 
Huu uzi umeutendea haki, umeongea kweli ya kweli bila kuingiza utani na upendeleo.
Andiko hili limfikie Mudy mfadhili wenu.

Ndg yako OKW BOBAN SUNZU naye amependekeza kocha aondoke kwani team ameishindwa.
Hongera mtani kweli una jicho la mpira.

Hawa wanao kukosoa moyoni deep down wanajuunga mkono sema ni waoga kukiri🤣🤣
Asante Mtani kwa Love and sincere Credits zako za mara kwa mara Kwangu. Nalijua hilo na Ubarikiwe mno.
 
Hapo bado hamjasema yaani mpaka mseme
20230917_104104.jpg
 
Kipa Ayubu hana tatizo tena kwa Kumuona jana tu nimegundua ana Uimara mkubwa kuliko Mnafiki Mtoto aliyeko ambaye jana baada ya Goli la Pili alikuwa akimcheka Benchini na Mchawi Mwingine aliyeko Likizo ya Kitiba sasa.

Kama kuna Wachezaji ambao nina Hasira nao kwa Kunikera jana ni Mabeki wa pembeni Kapombe, Tshabalala, Kiungo
Bado haujasema..!!! Na utasema tu..!!! Yaani mpaka usemee..!!!

CC
Kalpana
 
Back
Top Bottom