Simba SC kwa aibu kubwa ninayoiona inakuja na kwa upuuzi wa Ndola jana, tuwape Yanga SC nafasi yetu AFL ili wakaliheshimishe Taifa

Walee wazee wa kusikia habari mbaya za Simba siwaoni humu wakikuondolea jina lako walilokubatiza la upopoma...naona meno yote nje hukoo...
Ila Simba itafika kote huko na ubingwa NBC tunaupata...
 
Tumeshapata jibu kuwa shirikisho ilikuwa na timu ngumu kuliko za klabu bingwa. Yanga ametoka sare ya aggregate 2-2 na bingwa mkuu wa michuano ya CAF (CAF super cup)
Bingwa wa klabu bingwa juzi katepeta kwa USM Alger, sasa wewe endelea kuamini timu zinazofungwa na Yanga ni vibonde
 
Hili ni wazi kabisa gentamycine mwanetu umevuka mipaka ......umefikia hatua kabisa ya kiwaponda Hadi wachezaji ....


Wachezaji ni watu wa kuwapa moyo Kila siku iitwayo leo sioni sababu kabisa ya kuponda wachezaji wetu Hawa ...

Timu yetu inshort ipo imara na tutegemee makubwa kutoka Kwa wachezaji wetu inshallah tutafanya vizuri mashindano yote
 
Case closed mgonjwa matibabu yanaendelea vizuri... Muda wowote ataruhusiwa na jiandae kumpokea kutoka Dodoma!.
Mtani wangu Glenn dhihaka kama hii na Matusi mengine ninayotukanwa Kutwa ndiyo unataka niwe Mvumilivu nayo?

Mbona huwa huwasemi / huwaonyi wale Wapumbavu ( kama huyu ) ambao ndiyo huwa Wananianza kwa Kunichokoza kutwa hapa JamiiForums? Nikueleweje na Wewe?
 
Mkuu, Binafsi naona mechi ya jana kosa ni kocha alikosea kupanga kikosi 1st half. Alirekebisha hili kosa 2nd half. Goli la pili ni kosa la kipa. Simba ilikuwa na nafasi kubwa sana ya kushinda. Matokeo si mabaya. Nafasi ya kupita ni kubwa.
Ni kweli kabisa hiyo nafasi ipo kinachonipa maswali kwa aina Ile ya mechi ya jana huko simba aendako daah lile goli la 2 alinikwaza sana yule jamaa.
 
Mtani usijjibu tusi kwa tusi, mwqmbie hivi; bora mimi GENTAMYCINE nimeonyesha matumaini ya kuruhusiwa je wewe utqtoka lini mirembe??? 🤣🤣🤣🤣
 
Mtani usijjibu tusi kwa tusi, mwqmbie hivi; bora mimi GENTAMYCINE nimeonyesha matumaini ya kuruhusiwa je wewe utqtoka lini mirembe??? 🤣🤣🤣🤣
 
Kwa Kanoute nakuunga mkono.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…