Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 17,022
- 36,936
Anaweza kuwa si kocha mzuri ndio ila kwa hili hata makocha wakubwa hukosea mahesabu na kuyasahihisha.Kocha ambaye umeshakaa na timu muda huwezi kushindwa kujua 11 eleven yako ya ushindi, iligoma ndipo ingiza super subs..