Simba SC kwa aibu kubwa ninayoiona inakuja na kwa upuuzi wa Ndola jana, tuwape Yanga SC nafasi yetu AFL ili wakaliheshimishe Taifa

Hauna akili hao wakubwa wako uyo Al Ahly si kafungwa juzi na timu ilikuwa kwenye ilo kombe la looser cup heshimu mpira acha uchoko kama mwali
 
Ni ukweli mchungu kwamba Simba yetu jana imecheza mpira wa kipuuzi na kuruhusu magoli ya kijinga kama yale. Kazi tunayo kwa kweli. Kapombe na mwenzie Muhamed Hussein watafutwe mbadala sasa. Wapo chini ya kiwango sana, ama wanaamua kucheza chini ya kiwango wakiamini hakuna replacement.
 
Huyo hana akili ndo maana anaongea pumba alafu eti analiiita kombe la looser huyo si sio mzima
 
Bora wew umeongea ukweli
 
Mpumbavu wewe hujui ulichokiandika. Chelsea kavukuza makocha wanne ndani ya misimu miwili, kapata kipi cha maana?.

Unapomuondoa Robertinho ujue kwamba unafukuza na wasaidizi wake wote, hizo pesa unaweza kuchangia gharama japo nusu tu?.

Watanzania tuna jamii ya kipumbavu sana, inajifanya inajua kila kitu.

Mambo ya mikataba tunayajua, mambo ya mpira tunayajua yaani kila kitu tunajidanganya kukifahamu wakati uwezo wetu wa elimu inayohusika ni mdogo sana kama sio sifuri kabisa.

Huwezi kumlinganisha Power Dynamos bingwa wa Zambia na EL Merreikh ya Sudan, ukiweza kuelewa kwa kina nini ninachomaanisha utauonea aibu huu uzi wako.
 
Pale ni ugenini na yule ni bingwa wa Zambia, sio bingwa wa Somalia au Ethiopia.
 
Ukisema kweli itakuweka huru. Safi kiongozi be blessed[emoji120]
 
Shida yenu wagonjwa huwa hamjikubali kuwa mu-wagonjwa hivyo nikupongeze kwa kupona japo najua kwa siku moja, ikikupendeza endelea kumeza dawa kwa ufasaha. Wiki nzima umekimbia dose tunashukuru mganga amekuovadozi walau utimamu wa Leo umepatikana.😅
 
Ni mwana Simba SC Mpumbavu ( Fool ) tu ambaye kwa Mpira mkubwa Unaochezwa sasa na Yanga SC ndiyo atakataa na atabisha kuwa Yanga SC hawaendi kuwa Mabingwa tena kwa Msimu huu na kwa mara ya Tatu mfululizo.
Usipokunywa zile dawa zako akili huwa haitulii kabisa angalau sasa unaandika ukaeleweka.

Malizia dozi utapona tu[emoji3]
 
Pale ni ugenini na yule ni bingwa wa Zambia, sio bingwa wa Somalia au Ethiopia.
Mkuu ni ukweli kuwa kule ni ugenini. Lakini wale jamaa kipindi cha pili ilikuwa wafe hata nne au tano. Baleke amekosa chance nyingi Sana kisa utulivu hakuna. Mimi binafsi timu iliniboa kabisa. From no where inapigwa counter attack tunafungwa goli la pili. Uzembe Sana huu. Machezaji yetu yameshajiona ni mastaa Sana kiasi ambacho vichwa vimevimba.

Yaani wakiamua Leo tucheze mpira vizuri wanacheza na wakiamua kuwa slow na kuboronga wanafanya hivyo hivyo. Kuna jinga moja golini kwetu linajidai kuokoa mpira golini kwetu kistaa(pumbavu kabisa) mara mpira ukanaswa na mpinzani na kidogo tufungwe. Kapombe naye ameanza kucheza kizamani, anapiga micross tu ambayo hata haina impact yoyote Ile (ushenzi kabisa). Anatamani kumzidi David Beckham wakati uwezo umepungua na Aina ya uchezaji kwa soka la sasa hivi imechange.They have to change.

Kocha siwezi kumlaumu Sana japo anamapungufu Yake kiasi maana baadhi ya wachezaji wanamwangusha. Natamani awape discipline waache ujinga.
Samahani Sana kama nimeongea kwa ukali ila wachezaji wanaboa Sana.
Kipindi kile Haji Manara aliwachana ukweli kwamba Wana deni kubwa Sana kwa mashabiki na mwekezaji na hawana kisingizio chochote cha kufungwa kizembe zembe Kama Jana.
Wabadilike sio Siri.
[emoji120][emoji120]
 
Msimu huu sin hata mood na hii timu yangu mbovu
Yaani mastaa wengi lakini kocha wa hovyo
Timu inaboa Sana kiongozi. Inakera to the maximum. GENTAMYCIME baadhi ya member wanamchukia lakini namkubali Sana mwamba kwa kuwachana ukweli(machezaji, viongozi, benchi la Ufundi na wengine kibao).
Timu isipobadilika tunapata aibu kubwa Sana mwaka huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…