Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Hauna akili hao wakubwa wako uyo Al Ahly si kafungwa juzi na timu ilikuwa kwenye ilo kombe la looser cup heshimu mpira acha uchoko kama mwaliYanga bado hajacheza na timu bora .
Mwaka jana kwenye looser cup alibahatika vibonde mwaka huu tena kapata vibonde.
Tuvute subira tuone makundi kama atapata upepo wa vibonde au vipi.
Napenda yanga apate kundi kama hili tuone huo mpira anaosema anakikosi imara kama atatoboa.
View attachment 2752222