Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni mwana Simba SC Mpumbavu ( Fool ) tu ambaye kwa Mpira mkubwa Unaochezwa sasa na Yanga SC ndiyo atakataa na atabisha kuwa Yanga SC hawaendi kuwa Mabingwa tena kwa Msimu huu na kwa mara ya Tatu mfululizo.
Kuna ukweli fulani hapo.Kwa Timu ile ya Power Dynamos FC ni ya kutoa Sare nayo Kweli Mkuu? Tusifiche ukweli kuwa Simba SC bado tunajitafuta na tuna Kikosi dhaifu Kimashindano.
Chezea Supu ya kokoto ?🤣Pole mtani....pira gamondi linafukuta na kufurukunyua.💛💚💛💚💛💚💚💚
Simba kafanya haya uyaonayo leo kabla ya yanga kujulikana, Simba ameliheshimisha taifa kwa style hiihii labda kama ulkua bado hujazaliwaKipa Ayubu hana tatizo tena kwa Kumuona jana tu nimegundua ana Uimara mkubwa kuliko Mnafiki Mtoto aliyeko ambaye jana baada ya Goli la Pili alikuwa akimcheka Benchini na Mchawi Mwingine aliyeko Likizo ya Kitiba sasa.
Kama kuna Wachezaji ambao nina Hasira nao kwa Kunikera jana ni Mabeki wa pembeni Kapombe, Tshabalala, Kiungo
Nimelala na Machungu mengi sana.
sifahamuKWANI kaanzisha nani huu msemo?
Hebu tuanze kuwalinganisha mchezaji mmoja mmoja tuone kama wachezaji wetu kama hata 3 tunaingiza first eleven timu zikiunganishwa.Simba wana wachezaji wazuri kuliko yanga walichotuzidi yanga wachezaji wao wana fighting sprit. Wachezaji wa Simba hawajitumi wana usupastaa mwingi wengi hawana ndoto za kuchezea timu kubwa ndoto zoa zimefika Mwisho.
Wangekuwa wanajituma Simba Jana angetoka na goli sio chini ya nne, halafu kocha hakuwa na sababu ya kumwacha kibu aendelee toka pale alipopiga mpira juu mawinguni , kocha alikuwa na sababu gani kuchelewesha Sub?Simba wana wachezaji wazuri kuliko yanga walichotuzidi yanga wachezaji wao wana fighting sprit. Wachezaji wa Simba hawajitumi wana usupastaa mwingi wengi hawana ndoto za kuchezea timu kubwa ndoto zoa zimefika Mwisho.
Kaka mkubwa! Hakika umechafukwa hata hivyo hongera kwa ushindi wa jana. Wenzako tumeshinda ugenini kotekote.Kipa Ayubu hana tatizo tena kwa Kumuona jana tu nimegundua ana Uimara mkubwa kuliko Mnafiki Mtoto aliyeko ambaye jana baada ya Goli la Pili alikuwa akimcheka Benchini na Mchawi Mwingine aliyeko Likizo ya Kitiba sasa.
Kama kuna Wachezaji ambao nina Hasira nao kwa Kunikera jana ni Mabeki wa pembeni Kapombe, Tshabalala, Kiungo
Khaaa!!!Usihangaike sana mume utapata tu!
Kipa Ayubu hana tatizo tena kwa Kumuona jana tu nimegundua ana Uimara mkubwa kuliko Mnafiki Mtoto aliyeko ambaye jana baada ya Goli la Pili alikuwa akimcheka Benchini na Mchawi Mwingine aliyeko Likizo ya Kitiba sasa.
Kama kuna Wachezaji ambao nina Hasira nao kwa Kunikera jana ni Mabeki wa pembeni Kapombe, Tshabalala, Kiungo nisiyempenda na nilishauri aachwe ila Wazee wa 10% wakambakisha Kanoute, Mshambuliaji anayemtesa Kiutamaduni ( Kienyeji ) Mchezaji Mgeni ( Aubin Kramo ) kutoka Kwao Kigoma Kibu na Kiungo Mchezeshaji ambaye hana Msaada huo kwa Simba SC yetu ( japo jana Katufungia Magoli jana ) Clatous Chama, Kiungo Muzamiru ambaye naona ama Sifa zimemzidi au Siku hizi anavuta aina mpya ya Bangi kwani jana kacheza chini ya Kiwango sana na Winga ambaye nilipinga mno Kusajiliwa Kwake kwa kuijua Ligi ya Rwanda alikotoka ilikuwa ni dhaifu Onana ambaye hana Mpira huo, ila alichonacho kikubwa ni Kujiremba kama Mtoto wa Kike na akicheza Kitoto na Kipuuzi sana.
Naomba Barua ya Kufukuzwa Kocha Wetu Mkuu Roberto Oliveira iwe tayari kwani ni Kocha wa hovyo na mbovu mno.
Hivi Kocha unawezaje kuanza na Kanoute ambaye si Kiungo namba Sita Asilia wakati unae Kiungo Asilia na ni Fundi hasa Fabrice Ngoma?
Unajua fika kuwa Saido Ntibanzokinza katoka Kucheza Mechi ngumu ya Burundi na Cameroon na Kachelewa kujiunga na Timu Kambini, ana Fatigue na Jet Lag halafu Kocha ulivyo wa hovyo bado unampanga wakati una Uwezo wa kutompanga na kuwatumia Wachezaji wengine na Yeye ukaja Kumtumia Mechi ya Dar es Salaam ambapo atakuwa Fiti na kuwa Msaada Kikosini na Kiuchezaji pia.
Kwa Timu yangu ya Simba SC ilivyo mbovu na nilivyoipima Kiufundi Jana GEBTAMYCINE natamka rasmi hapa JamiiForums kuwa sina Timu ya kuwa Bingwa NBC Premier League ( 2023/2024 ), sina Timu ya kufanya vizuri katika Makundi ya CAFCL na sina Timu ya kufanya vyema katika Michuano mipya ya African Football League ( AFL ) hivyo nawaomba Simba SC ( Viongozi, Wanachama na Wapenzi ) kuwa kwa Uwezo mkubwa walionao Yanga SC na Uwezo mdogo wa Kikosi chetu ( cha Simba SC ) naomba hii nafasi yetu ya hili Kombe Jipya la AFL tuwape Yanga SC ambao nje ya Utani wetu ( wangu ) nao na GENTAMYCINE kuwachukia hapa JamiiForums ( hata wao wanajua ) kwakuwa Kiufundi na Kimchezo wanaweza kufanya vyema na kufika mbali, kuiheshimisha nchi tofauti na Sisi ( Simba SC ) ambao naiona inaenda kutia Aibu na Kufungwa nyingi na Al Ahly FC hata kama tutatumia wale Waganga Wetu wa Kienyeji Milioni.
Msituone Wengine akina GENTAMYCINE tuko tu hapa JamiiForums Kutwa na labda hatujui Mpira au hatujawahi Kuucheza kwa Kiwango.
Najuta kwanini nilipokuwa nacheza Mpira wa Kimashindano Shuleni Uganda, Msasani ( Uwanja wa Magunia ), Ilala Msimbazi Center na Timu ya Lumumba Rovers, Kawe na Kawe Rangers enzi hizo na Mechi za Ndondo nilikuwa Sijirekodi ili hawa Wachezaji Wapuuzi tajwa hapa na Kocha wenu Mbrazili ajue kuwa nilikuwa naujua, naupiga na huenda isingekuwa ni Mikwara ya Wazazi kutaka nisome ( nijikite Kielimu ) huenda leo hii GENTAMYCINE ningekuwa natizamwa tu na Watanzania nikiwa na ama Liverpool FC yangu ninayoishabikia au AC Milan niipendayo au Bayern Munich FC ninayoihusudu nikicheza Namba zangu nilizokuwa nazimudu mno za 2,3,4,6 na 11 mpaka Kupachikwa Jina maarufu la Mchezaji mkubwa Kipindi hicho ambalo nikilitaja hapa Wanaolijua wataijua rasmi hi ID Tukuka na Brand ya GENTAMYCINE ni ya nani.
Nimalizie tu kwa Kuwapongeza Yanga SC kwa Ushindi wao wa Jana na hakika wana Timu nzuri, ya Kiushindani hasa, inayovutia na ambayo itafika mbali na kwa Ligi Kuu ya Tanzania nawapa 97% ya kuwa Mabingwa tena huku Simba SC yangu nikiipa 2% tu na Malofa wengine Azam FC wao nikiwapa 1% tu.
Nimelala na Machungu mengi sana.
Kocha ambaye umeshakaa na timu muda huwezi kushindwa kujua 11 eleven yako ya ushindi, iligoma ndipo ingiza super subs..Mkuu, Binafsi naona mechi ya jana kosa ni kocha alikosea kupanga kikosi 1st half. Alirekebisha hili kosa 2nd half. Goli la pili ni kosa la kipa. Simba ilikuwa na nafasi kubwa sana ya kushinda. Matokeo si mabaya. Nafasi ya kupita ni kubwa.
Lakini walikandwa 2-0 na Simba kwenye ngao ya hisani.
Bado tunacheza vizuri tusikate tamaa vijana bado wanao muda wa kujipanga kwa ajili ya mechi ijayoKipa Ayubu hana tatizo tena kwa Kumuona jana tu nimegundua ana Uimara mkubwa kuliko Mnafiki Mtoto aliyeko ambaye jana baada ya Goli la Pili alikuwa akimcheka Benchini na Mchawi Mwingine aliyeko Likizo ya Kitiba sasa.
Kama kuna Wachezaji ambao nina Hasira nao kwa Kunikera jana ni Mabeki wa pembeni Kapombe, Tshabalala, Kiungo nisiyempenda na nilishauri aachwe ila Wazee wa 10% wakambakisha Kanoute, Mshambuliaji anayemtesa Kiutamaduni ( Kienyeji ) Mchezaji Mgeni ( Aubin Kramo ) kutoka Kwao Kigoma Kibu na Kiungo Mchezeshaji ambaye hana Msaada huo kwa Simba SC yetu ( japo jana Katufungia Magoli jana ) Clatous Chama, Kiungo Muzamiru ambaye naona ama Sifa zimemzidi au Siku hizi anavuta aina mpya ya Bangi kwani jana kacheza chini ya Kiwango sana na Winga ambaye nilipinga mno Kusajiliwa Kwake kwa kuijua Ligi ya Rwanda alikotoka ilikuwa ni dhaifu Onana ambaye hana Mpira huo, ila alichonacho kikubwa ni Kujiremba kama Mtoto wa Kike na akicheza Kitoto na Kipuuzi sana.
Naomba Barua ya Kufukuzwa Kocha Wetu Mkuu Roberto Oliveira iwe tayari kwani ni Kocha wa hovyo na mbovu mno.
Hivi Kocha unawezaje kuanza na Kanoute ambaye si Kiungo namba Sita Asilia wakati unae Kiungo Asilia na ni Fundi hasa Fabrice Ngoma?
Unajua fika kuwa Saido Ntibanzokinza katoka Kucheza Mechi ngumu ya Burundi na Cameroon na Kachelewa kujiunga na Timu Kambini, ana Fatigue na Jet Lag halafu Kocha ulivyo wa hovyo bado unampanga wakati una Uwezo wa kutompanga na kuwatumia Wachezaji wengine na Yeye ukaja Kumtumia Mechi ya Dar es Salaam ambapo atakuwa Fiti na kuwa Msaada Kikosini na Kiuchezaji pia.
Kwa Timu yangu ya Simba SC ilivyo mbovu na nilivyoipima Kiufundi Jana GEBTAMYCINE natamka rasmi hapa JamiiForums kuwa sina Timu ya kuwa Bingwa NBC Premier League ( 2023/2024 ), sina Timu ya kufanya vizuri katika Makundi ya CAFCL na sina Timu ya kufanya vyema katika Michuano mipya ya African Football League ( AFL ) hivyo nawaomba Simba SC ( Viongozi, Wanachama na Wapenzi ) kuwa kwa Uwezo mkubwa walionao Yanga SC na Uwezo mdogo wa Kikosi chetu ( cha Simba SC ) naomba hii nafasi yetu ya hili Kombe Jipya la AFL tuwape Yanga SC ambao nje ya Utani wetu ( wangu ) nao na GENTAMYCINE kuwachukia hapa JamiiForums ( hata wao wanajua ) kwakuwa Kiufundi na Kimchezo wanaweza kufanya vyema na kufika mbali, kuiheshimisha nchi tofauti na Sisi ( Simba SC ) ambao naiona inaenda kutia Aibu na Kufungwa nyingi na Al Ahly FC hata kama tutatumia wale Waganga Wetu wa Kienyeji Milioni.
Msituone Wengine akina GENTAMYCINE tuko tu hapa JamiiForums Kutwa na labda hatujui Mpira au hatujawahi Kuucheza kwa Kiwango.
Najuta kwanini nilipokuwa nacheza Mpira wa Kimashindano Shuleni Uganda, Msasani ( Uwanja wa Magunia ), Ilala Msimbazi Center na Timu ya Lumumba Rovers, Kawe na Kawe Rangers enzi hizo na Mechi za Ndondo nilikuwa Sijirekodi ili hawa Wachezaji Wapuuzi tajwa hapa na Kocha wenu Mbrazili ajue kuwa nilikuwa naujua, naupiga na huenda isingekuwa ni Mikwara ya Wazazi kutaka nisome ( nijikite Kielimu ) huenda leo hii GENTAMYCINE ningekuwa natizamwa tu na Watanzania nikiwa na ama Liverpool FC yangu ninayoishabikia au AC Milan niipendayo au Bayern Munich FC ninayoihusudu nikicheza Namba zangu nilizokuwa nazimudu mno za 2,3,4,6 na 11 mpaka Kupachikwa Jina maarufu la Mchezaji mkubwa Kipindi hicho ambalo nikilitaja hapa Wanaolijua wataijua rasmi hi ID Tukuka na Brand ya GENTAMYCINE ni ya nani.
Nimalizie tu kwa Kuwapongeza Yanga SC kwa Ushindi wao wa Jana na hakika wana Timu nzuri, ya Kiushindani hasa, inayovutia na ambayo itafika mbali na kwa Ligi Kuu ya Tanzania nawapa 97% ya kuwa Mabingwa tena huku Simba SC yangu nikiipa 2% tu na Malofa wengine Azam FC wao nikiwapa 1% tu.
Nimelala na Machungu mengi sana.
Umeongea point, ukweli Simba SC imecheza mpira dhaifu hakuna muunganiko wa kitimu. Haiwezekani hadi leo hii timu haijaimarika bado inajitafuta na muda unaenda. Kuna wachezaji wazuri tu waliosajiliwa hatujawahi kuwaona wakipewa nafasi ys kucheza. Sijui kwa nini Viongozi na Menejimenti hawalioni hili.Kwa Timu ile ya Power Dynamos FC ni ya kutoa Sare nayo Kweli Mkuu? Tusifiche ukweli kuwa Simba SC bado tunajitafuta na tuna Kikosi dhaifu Kimashindano.