Simba SC kwa Umafia mliowafanyia Wydad Casablanca FC Jumamosi watatafutana kwa Mkapa

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
8,018
Reaction score
16,802
Wasiojua Mpira walifanyiwa 50% tu ya Umafia huo na tarehe 16 April, 2023 Wakafa Goli 2 huku Wakikoswakoswa Goli 3 au 5 na sasa wameanza Kugombana Wenyewe kwa Wenyewe.

Umafia waliofanyiwa Wanaoujua Mpira ( ambao baadhi yake MINOCYCLINE nimeushuhudia hii Leo ) Klabu ya Wydad Casablanca FC ambao ni Kufuru na wa 100% kuna Uwezekano mkubwa hiyo Siku ya Jumamosi Wao kwa Wao wakapigana Makonde pale kwa Mkapa kwa Kipigo ambacho watakipata kutoka kwa Simba SC.

Asanteni sana Watu wa Uwanja wa Ndege JNIA ( Terminal III ), Madereva Teksi wa Posta, Wafanya Usafi na Wamiliki wa Uwanja wa Ghymkana, Waandishi wa Habari Watatu ( ambao Majina yenu nayahifadhi ), Wafanyakazi wa Uwanja wa Mkapa, Matrafiki Watatu kutoka Stesheni na Wamiliki wote wa Hoteli za Nyota Nne na Tano ( hasa kwa Mkoa wa Dar es Salaam ) ama hakika Mwarabu akipona Jumamosi akatambike / wakatambike Kwao.

Mpaka MINOCYCLINE nakwenda Mitamboni Goli nilizoonyeshwa ni Nne ( 4 ) kwa 1 japo inasemekana kutokana na kupenda Kusali Kwao kwa Kitabu Waarabu wanaweza Kujitahidi kuzipunguza na zikawa / zikabakia Goli 3 au 2 kwani Wameshaingia Wenyewe Mtegoni kama walivyouingia Wasiojua Mpira tarehe 16 April, 2023 na Wakala / Wakafungwa Bao Mbili ( 2 ) Safi kabisa.

Mwarabu anakufa hiyo Jumamosi.
 
Bata bukini kazini
 
sikia tena sikia vizuri huiwezi raja kwa lolote,iwe kwa huo uchawi,kwa pesa,kwa mpira na kwa kipimo chichote kingine na usijidanganye kuwa yanga mliwafunga kwa huo uchawi ni kudra za Mungu tu ndio ziliamua hivyo,acha huu ujinga wa kudanganya najua kuwa mnadanganyanya sana na ndio maana kuna shehe mmoja hapa mwanza simba wanamtumia sana na mmemjengea bonge la nyumba lakini ukweli ni kwamba ushindi huwa ni kudra za Mungu sio uchawi
 
Middle class anatoa hoja ya kichawi kama mganga wa kienyeji hapa lingusenguse, mpira na uchawi ni vitu viwili tofauti, mbona hatulogi tuingie kwenye world cup?
 
Nakumbuka ile Mechi na Raja, nilikuwa na kuongozi mmoja wa Simba pale Element Hotel akawa ananiambia maneno haya haya. Kuwa tumewafanyia umafia wa hali ya juu, kuamzia airport hadi kwenye Mahoteli. Tumeungana na Yanga kuwafanyia wageni Umafia maana Yanga alikuwa na Mgeni TP Mazembe na sasa hawana sehemu ya Kulala kwani Hotel zote Nyota 5 za hapa Town wamesema hawana nafasi zimejaa. Jamaa alijitamba sana nami nilimuamini na nikawa nawashirikisha wenzangu kwenye majukwaa yetu ya kikazi huku nikisindikiza picha nilizopiga na Chama na wengine.

Ila kilichowakuta wakati wa Mechi, mlikiona wenyewe. Jiandaeni uwanjani na sio hizo blah blah za nje.
 
Back
Top Bottom