Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Gentamycine anahangaika sana baada ya kupigwa ban na ile ID nyingine anaaandika pumba tu kama kawaida yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tulikosea na Kusahau kidogo Masharti.Nakumbuka ile Mechi na Raja, nilikuwa na kuongozi mmoja wa Simba pale Element Hotel akawa ananiambia maneno haya haya. Kuwa tumewafanyia umafia wa hali ya juu, kuamzia airport hadi kwenye Mahoteli. Tumeungana na Yanga kuwafanyia wageni Umafia maana Yanga alikuwa na Mgeni TP Mazembe na sasa hawana sehemu ya Kulala kwani Hotel zote Nyota 5 za hapa Town wamesema hawana nafasi zimejaa. Jamaa alijitamba sana nami nilimuamini na nikawa nawashirikisha wenzangu kwenye majukwaa yetu ya kikazi huku nikisindikiza picha nilizopiga na Chama na wengine.
Ila kilichowakuta wakati wa Mechi, mlikiona wenyewe. Jiandaeni uwanjani na sio hizo blah blah za nje.
Damn Fool I'm Minocycline and not Gentamycine of yours okay? I'm tired of this.Gentamycine anahangaika sana baada ya kupigwa ban na ile ID nyingine anaaandika pumba tu kama kawaida yake
Stupid short youngboy gentamycine using another IDDamn Fool I'm Minocycline and not Gentamycine of yours okay? I'm tired of this.
Asante bwana MONOKOTIDILEDONI aka MINOCYCLINE kesho Simba nampa over 1.5 sijajua odds zakeWasiojua Mpira walifanyiwa 50% tu ya Umafia huo na tarehe 16 April, 2023 Wakafa Goli 2 huku Wakikoswakoswa Goli 3 au 5 na sasa wameanza Kugombana Wenyewe kwa Wenyewe.
Umafia waliofanyiwa Wanaoujua Mpira ( ambao baadhi yake MINOCYCLINE nimeushuhudia hii Leo ) Klabu ya Wydad Casablanca FC ambao ni Kufuru na wa 100% kuna Uwezekano mkubwa hiyo Siku ya Jumamosi Wao kwa Wao wakapigana Makonde pale kwa Mkapa kwa Kipigo ambacho watakipata kutoka kwa Simba SC.
Asanteni sana Watu wa Uwanja wa Ndege JNIA ( Terminal III ), Madereva Teksi wa Posta, Wafanya Usafi na Wamiliki wa Uwanja wa Ghymkana, Waandishi wa Habari Watatu ( ambao Majina yenu nayahifadhi ), Wafanyakazi wa Uwanja wa Mkapa, Matrafiki Watatu kutoka Stesheni na Wamiliki wote wa Hoteli za Nyota Nne na Tano ( hasa kwa Mkoa wa Dar es Salaam ) ama hakika Mwarabu akipona Jumamosi akatambike / wakatambike Kwao.
Mpaka MINOCYCLINE nakwenda Mitamboni Goli nilizoonyeshwa ni Nne ( 4 ) kwa 1 japo inasemekana kutokana na kupenda Kusali Kwao kwa Kitabu Waarabu wanaweza Kujitahidi kuzipunguza na zikawa / zikabakia Goli 3 au 2 kwani Wameshaingia Wenyewe Mtegoni kama walivyouingia Wasiojua Mpira tarehe 16 April, 2023 na Wakala / Wakafungwa Bao Mbili ( 2 ) Safi kabisa.
Mwarabu anakufa hiyo Jumamosi.
AajhahaaaaaaNakumbuka ile Mechi na Raja, nilikuwa na kuongozi mmoja wa Simba pale Element Hotel akawa ananiambia maneno haya haya. Kuwa tumewafanyia umafia wa hali ya juu, kuamzia airport hadi kwenye Mahoteli. Tumeungana na Yanga kuwafanyia wageni Umafia maana Yanga alikuwa na Mgeni TP Mazembe na sasa hawana sehemu ya Kulala kwani Hotel zote Nyota 5 za hapa Town wamesema hawana nafasi zimejaa. Jamaa alijitamba sana nami nilimuamini na nikawa nawashirikisha wenzangu kwenye majukwaa yetu ya kikazi huku nikisindikiza picha nilizopiga na Chama na wengine.
Ila kilichowakuta wakati wa Mechi, mlikiona wenyewe. Jiandaeni uwanjani na sio hizo blah blah za nje.
kichwa kimejaa sembe tupuNaona umekaimu nafasi ya popoma. Si kwa pumba hii.
Wasiojua Mpira walifanyiwa 50% tu ya Umafia huo na tarehe 16 April, 2023 Wakafa Goli 2 huku Wakikoswakoswa Goli 3 au 5 na sasa wameanza Kugombana Wenyewe kwa Wenyewe.
Umafia waliofanyiwa Wanaoujua Mpira ( ambao baadhi yake MINOCYCLINE nimeushuhudia hii Leo ) Klabu ya Wydad Casablanca FC ambao ni Kufuru na wa 100% kuna Uwezekano mkubwa hiyo Siku ya Jumamosi Wao kwa Wao wakapigana Makonde pale kwa Mkapa kwa Kipigo ambacho watakipata kutoka kwa Simba SC.
Asanteni sana Watu wa Uwanja wa Ndege JNIA ( Terminal III ), Madereva Teksi wa Posta, Wafanya Usafi na Wamiliki wa Uwanja wa Ghymkana, Waandishi wa Habari Watatu ( ambao Majina yenu nayahifadhi ), Wafanyakazi wa Uwanja wa Mkapa, Matrafiki Watatu kutoka Stesheni na Wamiliki wote wa Hoteli za Nyota Nne na Tano ( hasa kwa Mkoa wa Dar es Salaam ) ama hakika Mwarabu akipona Jumamosi akatambike / wakatambike Kwao.
Mpaka MINOCYCLINE nakwenda Mitamboni Goli nilizoonyeshwa ni Nne ( 4 ) kwa 1 japo inasemekana kutokana na kupenda Kusali Kwao kwa Kitabu Waarabu wanaweza Kujitahidi kuzipunguza na zikawa / zikabakia Goli 3 au 2 kwani Wameshaingia Wenyewe Mtegoni kama walivyouingia Wasiojua Mpira tarehe 16 April, 2023 na Wakala / Wakafungwa Bao Mbili ( 2 ) Safi kabisa.
Mwarabu anakufa hiyo Jumamosi.
Atashinda njaaSimba atashinda ila Sio kwa uganga, Mpira kuna vitu vingi sana Kuanzia...
Maandalizi ya game(Training), Uimara wa Wachezaji kiakili na kimwili kabla ya Mechi kuanza, kikosi, kocha, mifumo, Na jitihada ya Mchezaji mmoja mmoja .... Kwa pamoja hivi ndo huleta Matokeo na sio uchawi naludia tena sio Uchawi Ova
Huu ni mwandiko wa Gentamycine!! Uandishi huu hawezi kuandika mwingine!!Wasiojua Mpira walifanyiwa 50% tu ya Umafia huo na tarehe 16 April, 2023 Wakafa Goli 2 huku Wakikoswakoswa Goli 3 au 5 na sasa wameanza Kugombana Wenyewe kwa Wenyewe.
Umafia waliofanyiwa Wanaoujua Mpira ( ambao baadhi yake MINOCYCLINE nimeushuhudia hii Leo ) Klabu ya Wydad Casablanca FC ambao ni Kufuru na wa 100% kuna Uwezekano mkubwa hiyo Siku ya Jumamosi Wao kwa Wao wakapigana Makonde pale kwa Mkapa kwa Kipigo ambacho watakipata kutoka kwa Simba SC.
Asanteni sana Watu wa Uwanja wa Ndege JNIA ( Terminal III ), Madereva Teksi wa Posta, Wafanya Usafi na Wamiliki wa Uwanja wa Ghymkana, Waandishi wa Habari Watatu ( ambao Majina yenu nayahifadhi ), Wafanyakazi wa Uwanja wa Mkapa, Matrafiki Watatu kutoka Stesheni na Wamiliki wote wa Hoteli za Nyota Nne na Tano ( hasa kwa Mkoa wa Dar es Salaam ) ama hakika Mwarabu akipona Jumamosi akatambike / wakatambike Kwao.
Mpaka MINOCYCLINE nakwenda Mitamboni Goli nilizoonyeshwa ni Nne ( 4 ) kwa 1 japo inasemekana kutokana na kupenda Kusali Kwao kwa Kitabu Waarabu wanaweza Kujitahidi kuzipunguza na zikawa / zikabakia Goli 3 au 2 kwani Wameshaingia Wenyewe Mtegoni kama walivyouingia Wasiojua Mpira tarehe 16 April, 2023 na Wakala / Wakafungwa Bao Mbili ( 2 ) Safi kabisa.
Mwarabu anakufa hiyo Jumamosi.
hata mshinde 10 sisi tunajua nyie ni bye bye,kule mtafungwa 18,yani mnaloweza kufanya nyinyi waydad wanaweza kulifanya mara 3-5Wasiojua Mpira walifanyiwa 50% tu ya Umafia huo na tarehe 16 April, 2023 Wakafa Goli 2 huku Wakikoswakoswa Goli 3 au 5 na sasa wameanza Kugombana Wenyewe kwa Wenyewe.