Simba SC kwa Umafia mliowafanyia Wydad Casablanca FC Jumamosi watatafutana kwa Mkapa

Simba SC kwa Umafia mliowafanyia Wydad Casablanca FC Jumamosi watatafutana kwa Mkapa

Mpira unhekua unachezws kwa ndumba, kombe la dunia lingekua ninakuja Africa kila baada ya miaka minne!
Nilijua tu nitakutana na comment ya kipuuzi kama hii, ambayo inafanana na Ile isemayo "kama maombi yanaponya basi hakuna haja ya serikali kununua vifaa tiba na kuajiri madaktari, ijaze viongozi wa dini mahospitalini". Kwahiyo maombi hayasaidii? Hoja ya kitoto tupu.

Nimetoa mfano huu ili mlinganishe na comments za wadau kuhusiana na uzi huu. Hasa hiyo hoja ya kubeba World Cup.
 
Nakumbuka ile Mechi na Raja, nilikuwa na kuongozi mmoja wa Simba pale Element Hotel akawa ananiambia maneno haya haya. Kuwa tumewafanyia umafia wa hali ya juu, kuamzia airport hadi kwenye Mahoteli. Tumeungana na Yanga kuwafanyia wageni Umafia maana Yanga alikuwa na Mgeni TP Mazembe na sasa hawana sehemu ya Kulala kwani Hotel zote Nyota 5 za hapa Town wamesema hawana nafasi zimejaa. Jamaa alijitamba sana nami nilimuamini na nikawa nawashirikisha wenzangu kwenye majukwaa yetu ya kikazi huku nikisindikiza picha nilizopiga na Chama na wengine.

Ila kilichowakuta wakati wa Mechi, mlikiona wenyewe. Jiandaeni uwanjani na sio hizo blah blah za nje.
Hii kamba kaka... Itakua element ya bonyokwa
 
Mbona kama mmebashiri tofauti, sio kwamba simba ndo anakufa 3 tena leo?
 
Back
Top Bottom