Simba SC kwa Umafia mliowafanyia Wydad Casablanca FC Jumamosi watatafutana kwa Mkapa

Tulikosea na Kusahau kidogo Masharti.
 
A
Asante bwana MONOKOTIDILEDONI aka MINOCYCLINE kesho Simba nampa over 1.5 sijajua odds zake
 
Aajhahaaaaaa
 

Kule Casablanca ndio watalipa kisasi cha umafia
Kuanzia nje ya uwanja mpk ndani ya uwanja
 
Timu za Morocco zinapokuja nchini, Balozi wao anashiriki kwa karibu kuandaa mazingira rafiki kwa timu hizo kwa hiyo sitegemei kuona figisu zozote za maana wanazoweza kufanyiwa. Vilevile hivi sasa Simba hawataki kuharibu taswira ya club kuelekea CAF Super League, hizo mambo zilishaachagwa.

Hata Yanga kwenye derby hawakuvunja mageti kama kawaida yao maana walijua kuna watu wa CAF uwanjani maana wanabembeleza nao kufikiriwa.
 
Atashinda njaa
 
Wewe utakua huna hata marinda unakurupuka sana... Son of the Gay
 
Anaye jua anajua tu,Simba alipasuka kwa Raja nyumbani na ugenini,mpira siyo vigodoro.
 
Huu ni mwandiko wa Gentamycine!! Uandishi huu hawezi kuandika mwingine!!
 
hata mshinde 10 sisi tunajua nyie ni bye bye,kule mtafungwa 18,yani mnaloweza kufanya nyinyi waydad wanaweza kulifanya mara 3-5
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…