Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao kina Boko, ndo kama ukivyoona Leo. Miguu haina glisi, mugalu sio super, kagere anachagua mechi. Labda msubiri majira ya joto kwa Phiri kama Yanga hawatawapikukagere bocco,mugalu ,muhilu,kibu, bado untk mshambuliaji mwngine?
Washambuliaji wa nini mkuu wakati mnae boko, mugalu,kagere,mhilu,mwanuke,amuoni hao ni washambuliaji wa levo za juu kabisa Kama alivyosema mwenyekiti wenu mangungu?Katika kitu ambacho sijaelewa hadi sasa hivi SSC inampango gani pale mbele Ina maana wameridhika na kina Bocco,Mugalu,Kagere na Muhilu??
Mimi nilitegemea mpaka sasa imesasajili mfungaji wa kimataifa pale mbele anayeendana na hadhi ya club.
Watasajili lini mshambukiaji hawa jamaa[emoji848][emoji848]
Afadhali wewe umeungana na mimi, hivi competition ya msimu huu ni ya kukubali kukaa nyuma kwa point tano? Na hapo tukifanya uzembe kwenye kiporo hupenda tukazidiwa point 6 au 8 kabisa.ili mpoteze kombe kuna ujinga huwa lazima ufanyike. Naamini hii ni sehemu ya ujinga ambao utapelekea kupotea NBC
Dah yaan n ujinga kwa kweliili mpoteze kombe kuna ujinga huwa lazima ufanyike. Naamini hii ni sehemu ya ujinga ambao utapelekea kupotea NBC
usikate tamaa mapema mzeeAfadhali wewe umeungana na mimi, hivi competition ya msimu huu ni ya kukubali kukaa nyuma kwa point tano? Na hapo tukifanya uzembe kwenye kiporo hupenda tukazidiwa point 6 au 8 kabisa.
Huu msimu tumepoteza tayari.
Sio mimi mkuu ni mwrnyekiti wenu mangungu aliyesema Ivyo 🤣🤣🤣Bocco haupo serious jamaa[emoji848][emoji848]
Katika kitu ambacho sijaelewa hadi sasa hivi SSC inampango gani pale mbele Ina maana wameridhika na kina Bocco,Mugalu,Kagere na Mhilu??
Mimi nilitegemea mpaka sasa imesasajili mfungaji wa kimataifa pale mbele anayeendana na hadhi ya club.
Watasajili lini mshambukiaji hawa jamaa[emoji848][emoji848]
View attachment 2085176View attachment 2085177View attachment 2085178View attachment 2085179
Wameshindwa kutoka milioni 200 kwa ajili ya kuvunja mkataba wa moses phiri.Aisee hili ni sikio la kufa. Toka wakati wa dirisha kubwa tuliwakumbusha hapa kuwa Simba haina mshambuliaj namba tisa. Juzi tena kwenye dirisha dogo tumewakumbusha hapa tena kwa kluwaambia kabisa kuwa wafanye maamuzi magumu waachane na mshambuliaji mmoja wa kimataifa walete mwingine aliyekamilika bado hawakusikia. Badala yake waklete viungo wakawa wanafanyia majaribio kwenye Mapinduzi wakati Simba ndio timu tajiri kwa viungo. Kwa mwendo huu hata ubingwa ni hatihati.
Gape la point 5 kwenye ligi ngumu kama hii tena mbaya zaidi unazidiwa na timu yenye uchu wa kubeba ubingwa baada ya kuukosa misimu 3 mfululizo, ni sawa na kuulizia makofi polisi, kwa mwendo wa yanga wa sasa na aina ya wachezaji ilionao wacha tusubili tusiongee mengiusikate tamaa mapema mzee
Mpira wa siku hizi gharama haziepukiki kama unataka mchezaj mzur lazima uingie mfukoni aisee kama wenzetu huko kwa wamisriWameshindwa kutoka milioni 200 kwa ajili ya kuvunja mkataba wa moses phiri.
Wameambiwa warudi mwezi june wakiwa na milioni 150 mkononi.
[emoji23][emoji23][emoji23]
Wakaamua kumsainisha pre-contract.
wana uchu hasa ila mpira bwana we acha si umeona Chelsea ilivyokuwa mzeeGape la point 5 kwenye ligi ngumu kama hii tena mbaya zaidi unazidiwa na timu yenye uchu wa kubeba ubingwa baada ya kuukosa misimu 3 mfululizo, ni sawa na kuulizia makofi polisi, kwa mwendo wa yanga wa sasa na aina ya wachezaji ilionao wacha tusubili tusiongee mengi