Kwani hao kina mayele,dube wana tofauti gani na kina kagere,mugalu.wote viwango vyao ni sawa wanatofautiana tu mfumo wa uchezaji.
Tatizo la simba sio uduni wa wachezaji kwa maana ya uwezo bali mbinu zakiuchezaji na saikolojia ya wachezaji ndo vitu vinavyoisumbua simba.Bench la ufundi la simba pamoja na kuja kwa kocha mpya ila bado mambo yako vile vile,kwahiyo nadhani kuna shida mahali.
Bench limeshindwa kutumia wachezaji walionao,ndo maana timu imekosa kabisa muunganiko kuanzia katikati hadi mbele na tatizo linaonekana ni jinsi ya mfumo wauchezaji ulivyo.ndo maana timu ikifungwa inashindwa kucame back badala yake zinafanyika sub za ovyo uku wachezaji nao wakicheza kwa presha nakubutua butua tu,nguvu nyingi akili kidogo.Timu imekosa utulivu na muunganiko.
kwahiyo ata ukileta mshambuliaji mwingine mambo yatakua haya haya.
Sent from my SM-A107F using
JamiiForums mobile app