Simba Sc, Lawama hazitawasaidia, Mamilioni ya fedha anazotoa Azam kila mwezi kwa kila timu zimefanya ligi iwe na ushindani kuliko miaka iliyopita

Najiuliza maswali mengi sipati jibu juu ya Hawa watani zangu Yanga.
Mpaka saiz washajua wao Ni Mabingwa wakat ya mbele hawayajui ,Siku ikitokea wakakosa ubingwa sijui wataishi vipi mitaa n ,Nan atabeba lawama ,vipi uongozi wao utakuaje?
Mpira una matokeo ya kikatili Sana ,kukaa na Kujiaminisha wewe Ni bingwa kwa mechi 13 kati ya 32 Ni maajabu haya.

Maana saiz ukipita mtaan wanatamba tu kuwa wao Ni Mabingwa ,sikatai yanga anaweza kuwa bingwa lakin tujiulize asipokua bingwa itakuaje ? Maana yote yanawezekana kwenye football.

Ombeni na kusali huu msimu yasitokee mengine mbele ya safar ,ila ikatokea mmekosa ubingwa nawambia mtaishi kwa tabu Sana haijapata kutokea .
 
Nakubali mkuu
 
Kumbuka zile pesa za gsm pia kila timu ukiacha simba wanapata

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Hii ina mahusiano na hoja ilioletwa?
 
Kama ulivyosema Simba haina timu mbaya,hata Yanga ya mwaka jana pia haikua na timu mbaya.
Mpira ni dakika tisini na ligi bado kuna mechi nyingi.kama ulivyosema msimu huu timu azina ukata wa fedha so lolote kinaweza kutokea na ubingwa akabeba yeyote iwe Azam,Mbeya City,Kagera Sugar,Yanga au Simba.
 
Naunga mkono hoja
 
Hongera sana kwa uchambuzi wako makini. Atakaye kupinga, basi na yeye aje na hoja, badala ya mipasho.
 
Zijue sheria za mpira.
Jua sheria za nchi.
Aden Rage alifungwa kutumia madaraka ya FAT vibaya.
:
Kwani lile tukio alipigwa faini ila kinachoendelea saizi ni siasa katika soka na kwa namna hii wote tutakuwa tunashangilia Mawali na Zimbabwe AfCON miaka yote.
 
VVIP huruhusiwi kuingia na watoto na imeandikwa kwenye ticket...... kwanini amtukane dada wa watu matusi ya nguoni (personal attack)? Acheni kutafuta sababu za kijinga jinga

Matusi gani ya nguoni aliyomtukana!!au basi tu kwakua umekatwa kisim**unakuwa kama hanangwa
 

Ongeza ya leo Kagera 1 - Simba 0
 
Wanasimba tukubali ukweli mgumu, kocha nì galasa!! hana utulivu, habungui bongo, anadhani mambo yatajipa tu!! inatuuma lakini ndio ukweli wenyewe!!
 
[emoji94].... Djigui Diara aliondoka akiacha Simba ina point 24

Anarudi anakuta Simba ina point 25

Anajiuliza Ligi ilisimama au???!![emoji848][emoji848][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…