Simba Sc, Lawama hazitawasaidia, Mamilioni ya fedha anazotoa Azam kila mwezi kwa kila timu zimefanya ligi iwe na ushindani kuliko miaka iliyopita

Najiuliza maswali mengi sipati jibu juu ya Hawa watani zangu Yanga.
Mpaka saiz washajua wao Ni Mabingwa wakat ya mbele hawayajui ,Siku ikitokea wakakosa ubingwa sijui wataishi vipi mitaa n ,Nan atabeba lawama ,vipi uongozi wao utakuaje?
Mpira una matokeo ya kikatili Sana ,kukaa na Kujiaminisha wewe Ni bingwa kwa mechi 13 kati ya 32 Ni maajabu haya.

Maana saiz ukipita mtaan wanatamba tu kuwa wao Ni Mabingwa ,sikatai yanga anaweza kuwa bingwa lakin tujiulize asipokua bingwa itakuaje ? Maana yote yanawezekana kwenye football.

Ombeni na kusali huu msimu yasitokee mengine mbele ya safar ,ila ikatokea mmekosa ubingwa nawambia mtaishi kwa tabu Sana haijapata kutokea .
 
Nakubali mkuu
 
Kila timu inapokea si chini ya Milioni 40 kila mwezi kwajili ya kujiendesha, Hivi kwa akili ya kawaida tu unategemea ubora wa hizi timu uwe vilevile kama miaka ya nyuma??

[emoji599] Simba SC lawama haziwasaidii, wekezeni uwanjani zaidi kuliko nje ya uwanja !!

- Mabingwa watetezi wa ligi kuu Tanzania bara Simba sc msimu huu wamewekeza zaidi katika LAWAMA bila kuzingatia uhalisia.

[emoji419] Uhalisia uliopo msimu huu unawekwa vivuli na ku-deal na mambo ya nje ya uwanja.... Guys,, sio ndoto, wake up ! ilitegemewa lazima msimu huu utakuwa mgumu hasa kwa kuzingatia mambo yafuatayo ;

[emoji736] Uwekezaji kwenye ligi ; Timu nyingi zimeimarika kutokana na pesa za wadhamini, Wachezaji wa timu nyingi wana concentrate na soka zaidi kwenye field na sio kuwaza watakula nini.

[emoji736] Usafiri umeboreshwa, timu zinasafiri kwa wakati, hakuna timu inakwama kwa sababu ya nauli. Hili la kupunguza timu pia limesababisha kubaki na cream ya timu zenye ushindani.

[emoji736] Timu zimepata pesa za kufanya usajili, sio ajabu tena kuona timu kama Geita gold inasajili Mchezaji wa ligi kuu kutoka Congo.

[emoji419] Hizo ni baadhi ya sababu zinazofanya mechi ziwe ngumu na wala sio (TFF) wala (GSM) kama baadhi ya mashabiki wengi na viongozi wa Simba wanavyoaminishwa.

[emoji419] Ubora wa Simba sc haujashuka sana umepungua kidogo hasa kwa washambuliaji, Isipokuwa wapinzani wao Yanga SC ubora wao umeongezeka.... Na hili utaliona kwenye namba.

- Msimu uliopita muda kama huu Simba sc walikuwa wameshafunga magoli zaidi ya (24+) lakini sasa hivi wana magoli (14) tu.

- Vice versa is true,, Yanga wao walikuwa wamefunga magoli (14) tu lakini msimu huu mpaka sasa wanamagoli (23).... Hapo (GSM) unamlaumu kwa lipi ?

- Msimu uliopita muda kama huu Yanga walikuwa wameshapoteza Points (15) lakini sasa hivi wamepoteza Points (4) tu.

Young Africans msimu huu
[emoji736] 11 [emoji1666] 02 [emoji735] 00 = Walizopoteza (4)

Young Africans msimu uliopita
[emoji736] 06 [emoji1666] 06 [emoji735] 01= Walizopoteza (15)

- Haikuwahi kutokea katika misimu (4) iliyopita, katika michezo (12) ligi kuu Simba sc wawe na michezo (5) ambayo hawakufunga goli lolote,, Lakini msimu huu imetokea, hapo utailaumu (TFF) ?

[emoji735] Simba sc 0 - 0 Coastal union.
[emoji735] Biashara Utd 0 - 0 Simba sc.
[emoji735] Mbeya city 1 - 0 Simba sc.
[emoji735] Mtibwasugar 0 - 0 Simba sc
[emoji735] Simba sc 0 - 0 Yanga sc.

- Wakati huo wenzao Yanga katika michezo (13) wakiwa hawajafunga goli kwenye mchezo mmoja pekee v Simba sc !!!

- Kitu kibaya zaidi wanaSimba hawataki kukubali UKWELI, wanaishi kwa historia na hiki kitu ndicho kinaweza kuwachelewesha na kukumbuka shuka kukiwa kumekucha.

- Msimu huu ni tofauti, hapa niwasifu viongozi wa (TFF) na bodi ya ligi kwa kuweza kupanga ratiba vizuri....

- Misimu iliyopita mpaka sasa kungekuwa na viporo zaidi ya (4) lakini mpaka sasa timu (14) zimecheza michezo (13) isipokuwa Simba sc na Kagera sugar ambao wamecheza michezo (12) na wote tunajua nini kilitokea.

SOLUTION
---------------------------
- Kwa sasa Simba wanapaswa ku deal na tatizo na sio kutafuta mchawi,, Ukiniambia viwanja ni vibovu sitakuafiki.... Viwanja hivi ndivyo vilivyotumika katika misimu (4) ambayo Simba sc walikuwa mabingwa.

- Simba sc 0 - 0 Coastal ; Kwa Mkapa pia ni pabovu ? .... Muda bado upo, mbio za ubingwa bado mbichi wekezeni katika kuwanoa washambuliaji na sio KULAUMU.

- Simba SC wamepata penati (7) msimu huu mpaka sasa,, katika penati hizo wamekosa penati (5),, Hapo utamlaumu (GSM) ?! Hebu tuweni serious kidogo.

[emoji368] Tom cruz.
Kumbuka zile pesa za gsm pia kila timu ukiacha simba wanapata

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Najiuliza maswali mengi sipati jibu juu ya Hawa watani zangu Yanga.
Mpaka saiz washajua wao Ni Mabingwa wakat ya mbele hawayajui ,Siku ikitokea wakakosa ubingwa sijui wataishi vipi mitaa n ,Nan atabeba lawama ,vipi uongozi wao utakuaje?
Mpira una matokeo ya kikatili Sana ,kukaa na Kujiaminisha wewe Ni bingwa kwa mechi 13 kati ya 32 Ni maajabu haya.

Maana saiz ukipita mtaan wanatamba tu kuwa wao Ni Mabingwa ,sikatai yanga anaweza kuwa bingwa lakin tujiulize asipokua bingwa itakuaje ? Maana yote yanawezekana kwenye football.

Ombeni na kusali huu msimu yasitokee mengine mbele ya safar ,ila ikatokea mmekosa ubingwa nawambia mtaishi kwa tabu Sana haijapata kutokea .
Hii ina mahusiano na hoja ilioletwa?
 
Kama ulivyosema Simba haina timu mbaya,hata Yanga ya mwaka jana pia haikua na timu mbaya.
Mpira ni dakika tisini na ligi bado kuna mechi nyingi.kama ulivyosema msimu huu timu azina ukata wa fedha so lolote kinaweza kutokea na ubingwa akabeba yeyote iwe Azam,Mbeya City,Kagera Sugar,Yanga au Simba.
 
Naunga mkono hoja
 
Kila timu inapokea si chini ya Milioni 40 kila mwezi kwajili ya kujiendesha, Hivi kwa akili ya kawaida tu unategemea ubora wa hizi timu uwe vilevile kama miaka ya nyuma??

🚨 Simba SC lawama haziwasaidii, wekezeni uwanjani zaidi kuliko nje ya uwanja !!

- Mabingwa watetezi wa ligi kuu Tanzania bara Simba sc msimu huu wamewekeza zaidi katika LAWAMA bila kuzingatia uhalisia.

📌 Uhalisia uliopo msimu huu unawekwa vivuli na ku-deal na mambo ya nje ya uwanja.... Guys,, sio ndoto, wake up ! ilitegemewa lazima msimu huu utakuwa mgumu hasa kwa kuzingatia mambo yafuatayo ;

✅ Uwekezaji kwenye ligi ; Timu nyingi zimeimarika kutokana na pesa za wadhamini, Wachezaji wa timu nyingi wana concentrate na soka zaidi kwenye field na sio kuwaza watakula nini.

✅ Usafiri umeboreshwa, timu zinasafiri kwa wakati, hakuna timu inakwama kwa sababu ya nauli. Hili la kupunguza timu pia limesababisha kubaki na cream ya timu zenye ushindani.

✅ Timu zimepata pesa za kufanya usajili, sio ajabu tena kuona timu kama Geita gold inasajili Mchezaji wa ligi kuu kutoka Congo.

📌 Hizo ni baadhi ya sababu zinazofanya mechi ziwe ngumu na wala sio (TFF) wala (GSM) kama baadhi ya mashabiki wengi na viongozi wa Simba wanavyoaminishwa.

📌 Ubora wa Simba sc haujashuka sana umepungua kidogo hasa kwa washambuliaji, Isipokuwa wapinzani wao Yanga SC ubora wao umeongezeka.... Na hili utaliona kwenye namba.

- Msimu uliopita muda kama huu Simba sc walikuwa wameshafunga magoli zaidi ya (24+) lakini sasa hivi wana magoli (14) tu.

- Vice versa is true,, Yanga wao walikuwa wamefunga magoli (14) tu lakini msimu huu mpaka sasa wanamagoli (23).... Hapo (GSM) unamlaumu kwa lipi ?

- Msimu uliopita muda kama huu Yanga walikuwa wameshapoteza Points (15) lakini sasa hivi wamepoteza Points (4) tu.

Young Africans msimu huu
✅ 11 🤝 02 ❎ 00 = Walizopoteza (4)

Young Africans msimu uliopita
✅ 06 🤝 06 ❎ 01= Walizopoteza (15)

- Haikuwahi kutokea katika misimu (4) iliyopita, katika michezo (12) ligi kuu Simba sc wawe na michezo (5) ambayo hawakufunga goli lolote,, Lakini msimu huu imetokea, hapo utailaumu (TFF) ?

❎ Simba sc 0 - 0 Coastal union.
❎ Biashara Utd 0 - 0 Simba sc.
❎ Mbeya city 1 - 0 Simba sc.
❎ Mtibwasugar 0 - 0 Simba sc
❎ Simba sc 0 - 0 Yanga sc.

- Wakati huo wenzao Yanga katika michezo (13) wakiwa hawajafunga goli kwenye mchezo mmoja pekee v Simba sc !!!

- Kitu kibaya zaidi wanaSimba hawataki kukubali UKWELI, wanaishi kwa historia na hiki kitu ndicho kinaweza kuwachelewesha na kukumbuka shuka kukiwa kumekucha.

- Msimu huu ni tofauti, hapa niwasifu viongozi wa (TFF) na bodi ya ligi kwa kuweza kupanga ratiba vizuri....

- Misimu iliyopita mpaka sasa kungekuwa na viporo zaidi ya (4) lakini mpaka sasa timu (14) zimecheza michezo (13) isipokuwa Simba sc na Kagera sugar ambao wamecheza michezo (12) na wote tunajua nini kilitokea.

SOLUTION
---------------------------
- Kwa sasa Simba wanapaswa ku deal na tatizo na sio kutafuta mchawi,, Ukiniambia viwanja ni vibovu sitakuafiki.... Viwanja hivi ndivyo vilivyotumika katika misimu (4) ambayo Simba sc walikuwa mabingwa.

- Simba sc 0 - 0 Coastal ; Kwa Mkapa pia ni pabovu ? .... Muda bado upo, mbio za ubingwa bado mbichi wekezeni katika kuwanoa washambuliaji na sio KULAUMU.

- Simba SC wamepata penati (7) msimu huu mpaka sasa,, katika penati hizo wamekosa penati (5),, Hapo utamlaumu (GSM) ?! Hebu tuweni serious kidogo.

🔍 Tom cruz.
Hongera sana kwa uchambuzi wako makini. Atakaye kupinga, basi na yeye aje na hoja, badala ya mipasho.
 
Zijue sheria za mpira.
Jua sheria za nchi.
Aden Rage alifungwa kutumia madaraka ya FAT vibaya.
:
Kwani lile tukio alipigwa faini ila kinachoendelea saizi ni siasa katika soka na kwa namna hii wote tutakuwa tunashangilia Mawali na Zimbabwe AfCON miaka yote.
 
VVIP huruhusiwi kuingia na watoto na imeandikwa kwenye ticket...... kwanini amtukane dada wa watu matusi ya nguoni (personal attack)? Acheni kutafuta sababu za kijinga jinga

Matusi gani ya nguoni aliyomtukana!!au basi tu kwakua umekatwa kisim**unakuwa kama hanangwa
 
- Haikuwahi kutokea katika misimu (4) iliyopita, katika michezo (12) ligi kuu Simba sc wawe na michezo (5) ambayo hawakufunga goli lolote,, Lakini msimu huu imetokea, hapo utailaumu (TFF) ?

[emoji735] Simba sc 0 - 0 Coastal union.
[emoji735] Biashara Utd 0 - 0 Simba sc.
[emoji735] Mbeya city 1 - 0 Simba sc.
[emoji735] Mtibwasugar 0 - 0 Simba sc
[emoji735] Simba sc 0 - 0 Yanga sc.

- Wakati huo wenzao Yanga katika michezo (13) wakiwa hawajafunga goli kwenye mchezo mmoja pekee v Simba sc !!!

- Kitu kibaya zaidi wanaSimba hawataki kukubali UKWELI, wanaishi kwa historia na hiki kitu ndicho kinaweza kuwachelewesha na kukumbuka shuka kukiwa kumekucha.

Ongeza ya leo Kagera 1 - Simba 0
 
Wanasimba tukubali ukweli mgumu, kocha nì galasa!! hana utulivu, habungui bongo, anadhani mambo yatajipa tu!! inatuuma lakini ndio ukweli wenyewe!!
 
[emoji94].... Djigui Diara aliondoka akiacha Simba ina point 24

Anarudi anakuta Simba ina point 25

Anajiuliza Ligi ilisimama au???!![emoji848][emoji848][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Back
Top Bottom