Simba SC, mabingwa wa nchi; wazindua Logo pamoja na Jezi mpya za msimu wa 2020/2021

Simba SC, mabingwa wa nchi; wazindua Logo pamoja na Jezi mpya za msimu wa 2020/2021

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Klabu ya Simba SC leo imezindua jezi mpya zitakazotumika msimu wa 2020/2021. Mabingwa hao wa soka nchini pia wamezindua rasmi Logo mpya baada ya kuirekebisha ile ya awali

Simba SC inaadhimisha Wiki Ya Simba SC ikiwa na matukio matatu ambayo ni uzinduzi wa logo mpya, jezi mpya na wachezaji wa msimu ujao

EfXqjn7XkAEfQR7.jpg


EfXyaV6XgAAZtQv.jpg
EfXyaV5XsAM-cAk.jpg
EfXyaV6XkAYzNDJ.jpg
 
Hizi jezi haziuziki!
Daaah hizi jezi mbona zina walakini
Mhh hizo ni tsh 2000 bado au zimeshuka kidogo bei
Kulitaka Mwana Kulipewa Mwana.. Another Level..!
jezi za hovyo sana
Kwenye jezi simba tunapuyanga sana
Hahahaha, inabidi brother KD apite ktk huu Uzi aone maoni

But brand ya uhsports haitishi sana ktk kudesign jezi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Logo nzuri Ila jezi mmmh hazina tofauti na za msimu uliopita sometimes wanatuboa mashabiki,Ile third kit nyeusi haivutii kabisa na bado wameirudisha tena msimu huu,
 
Dah kweli tunatofautiana sana kujua hiki ni kizuri na hiki ni kibaya
 
Back
Top Bottom