Simba SC, mabingwa wa nchi; wazindua Logo pamoja na Jezi mpya za msimu wa 2020/2021

Ni aibu kwa Klaby kubwa yenye fedha kukosa Ubunifu na kuamua kunakili ya African Lyon au Roaring Lion na kujikuta wanafuta Kauli Mbiu ya Timu ambayo ni " Nguvu Moja"

IMG_20200814_195252.jpg
 
Huyo simba haoneshi taswira ya kuunguruma bali anapiga miayo, pili kauli mbiu ya simba haipo,, tatu kwenye jezi hivi niwaulize hawana designer ? Mbona kila jezi mpya itolewayo kila msimu afadhali ya ile msimu uliopita, hii ina maana gani lakini ? Kiufupi wamefeli Mno

Kwenye logo za Man U,Arsenal,Liverpool kuna kauli mbiu gani? Au unataka logo yenye Mabondia,Wacheza Rede,na Kauli mbiu hapohapo wakati sote twajua ni Logo ya Club ya mpira wa miguu tu!
 
Logo ya Liverpool hamna kauli mbiu? Embu itazame vizuri.
1200px-Liverpool_FC.svg.jpg
 
Leta na na logo ya Man U,Arsenal,Chelsea na Tottenham hapa!
Lengo langu ilikuwa ni kukuonesha ya kwamba kwa upande wa Liverpool umeongopa au hulikuwa haujui au labda ulijisahau kuwa Liverpool wameweka kauli mbiu kwenye nembo yao.
 
Na point ya msingi hapa ni kwamba kati ya Team 5 nilizozitaja hapo juu,4 logo zao hazina kauli mbiu na hiyo moja ndiyo inayo! Maana yake 80% ya logo za Team hazina kauli mbiu,so Simba wako sahihi zaidi na logo yao mpya! Hoja ya kwa nini nembo mpya haina kauli mbiu so hoja tena!
 
Nachojua mimi kila timu ina maamuzi yao ya kuweka logo wanavyotaka wenyewe iwavyo. Iwe na kauli mbiu au isiwe na kauli mbiu ni maamuzi tu. Au unataka kusema Liverpool walioweka kauli mbiu wamekosea?
 
Sinunui jezi mpya, nitaendelea kuvaa hizi za msimu ulioisha. Hizi mpya wala hazina mvuto.
 
Back
Top Bottom