Simba SC, mabingwa wa nchi; wazindua Logo pamoja na Jezi mpya za msimu wa 2020/2021

Simba SC, mabingwa wa nchi; wazindua Logo pamoja na Jezi mpya za msimu wa 2020/2021

Mbunifu Wa hii Logo hajui...hata kuweka kampira utadhani Logo ya Kikoba! All in all Simba nguvu moja!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Jezi zenu za kishamba sana
Kwani tumekuwa Mabingwa kwa ajili ya Jezi ama uwezo uwanja? AnotherLevel
FB_IMG_1597398230794.jpg
FB_IMG_1597398234744.jpg
FB_IMG_1597398239067.jpg
 
Naona watu wengi wanaponda tu kuhusu hizi jezi... achana na picha zinazoletwa humu javini maana nyingi hazina uhalisia wa jezi halisi. Tafuta jezi uione kwa macho yako na ushike ujiridhishe ndio uje ku-comment. Huu uzi ni mzuri...
 
Huyo simba haoneshi taswira ya kuunguruma bali anapiga miayo, pili kauli mbiu ya simba haipo,, tatu kwenye jezi hivi niwaulize hawana designer ? Mbona kila jezi mpya itolewayo kila msimu afadhali ya ile msimu uliopita, hii ina maana gani lakini ? Kiufupi wamefeli Mno
 
Hazina utofaut sana na zzilizopita kibiashara wengi hawatanunua, kwa sababu ya udogo wa utifauti
 
Back
Top Bottom