OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Hizi jezi haziuziki!
Mbaya
Daaah hizi jezi mbona zina walakini
Mhh hizo ni tsh 2000 bado au zimeshuka kidogo bei
Kulitaka Mwana Kulipewa Mwana.. Another Level..!
jezi za hovyo sana
Hahahaha, inabidi brother KD apite ktk huu Uzi aone maoniKwenye jezi simba tunapuyanga sana
Tatizo vya bei cheeKwa hizi jezi sioni sababu ya Timu yangu ya Simba kuendelea kuwatumia 'Uhlsport' ...hao jamaa kwenye ubunifu ni ziro kabisa! Jezi mbaya bora hata za msimu uliopita.
Jezi mbovuMabingwa wa Nchi, Mnyama Mkali, Wekundu wa Msimbazi, Simba SC leo Ijumaa ya Agosti 14, 2020 wamezindua rasmi Logo pamoja na Jezi za Simba SC, Mabingwa wa Nchi za msimu huu wa 2020/2021.View attachment 1536855View attachment 1536856View attachment 1536857View attachment 1536858
Kwa hizi jezi sioni sababu ya Timu yangu ya Simba kuendelea kuwatumia 'Uhlsport' ...hao jamaa kwenye ubunifu ni ziro kabisa! Jezi mbaya bora hata za msimu uliopita.
Hahahaha, hizo ni KD mjumbe bodi ya wakurugenzi nadhani hapo Simba ScTatizo vya bei chee
Jezi zenu za kishamba sanaMabingwa wa Nchi, Mnyama Mkali, Wekundu wa Msimbazi, Simba SC leo Ijumaa ya Agosti 14, 2020 wamezindua rasmi Logo pamoja na Jezi mpya za msimu huu wa 2020/2021.View attachment 1536855View attachment 1536856View attachment 1536857View attachment 1536858