[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mbunifu Wa hii Logo hajui...hata kuweka kampira utadhani Logo ya Kikoba! All in all Simba nguvu moja!
Flying highMabingwa wa Nchi, Mnyama Mkali, Wekundu wa Msimbazi, Simba SC leo Ijumaa ya Agosti 14, 2020 wamezindua rasmi Logo pamoja na Jezi mpya za msimu huu wa 2020/2021.View attachment 1536855View attachment 1536856View attachment 1536857View attachment 1536858
Duh sasa inabidi bodi izingatie maoni ya mashabiki na wadau wanaoipenda timu....huwezi kufifisha income ya klabu kwa maslahi ya mburula Fulani kisa tu eti ni ndugu yako!Hahahaha, hizo ni KD mjumbe bodi ya wakurugenzi nadhani hapo Simba Sc
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani tumekuwa Mabingwa kwa ajili ya Jezi ama uwezo uwanja? AnotherLevelJezi zenu za kishamba sana
Walau hapa zinaonekana vizuri.Kwani tumekuwa Mabingwa kwa ajili ya Jezi ama uwezo uwanja? AnotherLevelView attachment 1536901View attachment 1536902View attachment 1536903
Kwenye jezi simba tunapuyanga sana