Simba SC, mabingwa wa nchi; wazindua Logo pamoja na Jezi mpya za msimu wa 2020/2021

Safari hii kweli another level, logo mpya simba anapiga miayo, Jezi hazieleweki ni Mpya au mtumba.
 
Logo yenyewe Mpya simba anapiga miayo.Mbumbumbu katika ubora wao. Pale unapo mpa kazi ya kitaalamu mtu mwenye elimu ya kufundisha Madrassa.
 
Logo imekosa mvuto kabisa. Ina mapengo kwenye mzunguko wake, yangeweza kuzibwa kwa kuweka picha za mpira au viatu vya kandanda. Kiufupi, mbunifu wa logo kachemsha.
 
Logo imekosa mvuto kabisa. Ina mapengo kwenye mzunguko wake, yangeweza kuzibwa kwa kuweka picha za mpira au viatu vya kandanda. Kiufupi, mbunifu wa logo kachemsha.


unataka iwe hadi na mmama anacheza rede na jamaa anapigana ngumi

haya mambo utopolo hamuwezi
 
Naona watu wengi wanaponda tu kuhusu hizi jezi... achana na picha zinazoletwa humu javini maana nyingi hazina uhalisia wa jezi halisi. Tafuta jezi uione kwa macho yako na ushike ujiridhishe ndio uje ku-comment. Huu uzi ni mzuri...
hao ni Yanga hawana jema
 
Mbunifu Wa hii Logo hajui...hata kuweka kampira utadhani Logo ya Kikoba! All in all Simba nguvu moja!

Wote wenye logo za Brand kubwa logo zao zina mambo machache sana mfano ni Logo ya Nike! Siyo unakuwa na logo ina makorokoro mengi kama mcheza mpira,bondia,mcheza Rede!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…