[emoji23] [emoji23]
Ni rahisi sana kuingoza simba maana wapenzi ,wanachama na mashabiki wake wana ufahamu mdogo sana I mean wengi wao walikimbia shule...wanaamini kila uongo
Hahaaaaa. AiseeInahitajika kuwa na file milembe ili kuwa mpenzi , shabiki au mwanachama wa simba
Namaanisha nakupenda weweWanakutesa ni viongozi wa simba wanaochezea akili zako
Ukisikia ukomavu huu ndio ukomavu sasa.
Ndo unalolijua ? Kweli wewe ni faru maana unafanana nae mpaka ufahamu
Yaani nyie watu aliyewaita mambumbumbu anawafahamu vzr sana, maana mnadhani kwa kushinda mechi moja ndiyo tayari mmeshakuwa mabingwa.
Hata kama mnaulimbukeni wa kombe la ligi kuu lkn si kwa kelele hizo...
Timu yenyewe mliocheza nayo ilikuwa ni second eleven lkn hamuishi kujisifia ujinga!
Huyo mkongwe okwi sijui nani alibahatisha tu , hana lolote jipya...
Kaeni kimya wekeni akiba ya maneno ligi ndiyo kwanza imeanza
Tuachane na ushabiki, usiiniite mbumbumbu kumbuka Mungu hapendi ila mm nakupendaMbumbumbu kama wewe nikupeleke wapi?
Umeandika mengi halafu utumbo mtupu! Umedhihirisha umbumbumbu wakokelele kwenye mpira wa miguu ni jambo la kawaida, Tambo,vijembe na misemo ya kejeri ni vitu vya kawaida kwa washabiki wa timu hasimu/pinzani au Watani wa Jadi.hyo ipo hivyo duniani kote.Sasa sijaelewa hoja yako hapa ni ipi? kwamba ulitaka washabiki wa Simba wasishangilie ushindi wao wa bao 7-0?,pia ulitaka washabiki wa Simba wasitambe kwamba watachukua ubingwa?,pia ulitaka washabiki wa simba wasiicheke Yanga kwa kutoka droo na lipuli?.Kama kweli hayo ndo ulikuwa unayataka basi inawezekana umeanza kushabikia Yanga na kupenda mpira kwa ujumla kipindi hiki cha Magufuli. Tambo kati ya washabiki wa Simba na Yanga zilikuwepo toka kipindi cha Nyerere na zitaendelea kuwepo siku zote,kama wewe zinakukwaza basi ujue tatizo lipo kwako wewe na njia pekee ya kukupa amani ni kuachana kabisa na Ushabiki wa mpira wa miguu,tuachie sisi tunafurahia hzo kelele za washabiki tuendelee kuenjoy.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Tuachane na ushabiki, usiiniite mbumbumbu kumbuka Mungu hapendi ila mm nakupenda
Sent using Jamii Forums mobile app
Vumbi umeandikaYaani nyie watu aliyewaita mambumbumbu anawafahamu vzr sana, maana mnadhani kwa kushinda mechi moja ndiyo tayari mmeshakuwa mabingwa.
Hata kama mnaulimbukeni wa kombe la ligi kuu lkn si kwa kelele hizo...
Timu yenyewe mliocheza nayo ilikuwa ni second eleven lkn hamuishi kujisifia ujinga!
Huyo mkongwe okwi sijui nani alibahatisha tu , hana lolote jipya...
Kaeni kimya wekeni akiba ya maneno ligi ndiyo kwanza imeanza