Bila shaka timu yenu inaulemavu mahali Fulani hasa hasa kwenye vichwa vyenu
Dada unaniumiza sio frexh nikubali ushabiki tuweke kando[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Huwezi kujitenga na umbumbumbu maana ndiyo fungu uliochagua
Vumbi tupuHao wenzio wanacheza mpira kwa mdomo wala huwezi kuwazui maana umbumbumbu wao siyo wa nchi hii..
No sijatukana hiyo ndiyo sifa yenu kubwa
Basi kuanzia Leo mm yanga nataka tuwe kitu kimoja je unanipenda?Endelea kuumia maana ndiyo fungu uliochagua
Pole, mlaumu aliyekuchagulia fungu la mambumbumbu! Watu wasiojitambua, wanaoamini kila uongo...sema kichwa cha mwendawazimuUna malezi ya hovyo, huwezi kusema watu wana ulemavu vichwani. Michezo ni burudani siyo kama unavyoandika hapa