Simba SC 'mambumbumbu' acheni kelele ndiyo kwanza ligi imeanza

Simba SC 'mambumbumbu' acheni kelele ndiyo kwanza ligi imeanza

tanobila-jpg.580317
 
Una malezi ya hovyo, huwezi kusema watu wana ulemavu vichwani. Michezo ni burudani siyo kama unavyoandika hapa
Pole, mlaumu aliyekuchagulia fungu la mambumbumbu! Watu wasiojitambua, wanaoamini kila uongo...sema kichwa cha mwendawazimu
 
Naomba kuwakumbusha tu kuwa tangu mwaka huu wa 2017 yanga amechapwa Mara tatu na simba. Na kuna uwezekano akachapwa tena kwa sababu inaonekana amezoea kugongwa gongwa.
 
Back
Top Bottom