Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Usihamaki. Weye umeleta uzi ukitaka sisi WanaSimba tuhamaki. Tuna maneno ya hatari sana. Hata danadana sijui kupiga ila ntakucharaza kwa maneno. Si umelianzisha? Usikimbie. Halafu kutaja wazazi ni great taboo! Usijaribu utaumia. Halafu umeanza kujikokolea!Kila mwanamke anahitaji bwana hata mama yako alikuzaa kwa kukutana na bwana
Umeayataka mwenyewe, mm sijaribiwi kaa chonjoUsihamaki. Weye umeleta uzi ukitaka sisi WanaSimba tuhamaki. Tuna maneno ya hatari sana. Hata danadana sijui kupiga ila ntakucharaza kwa maneno. Si umelianzisha? Usikimbie. Halafu kutaja wazazi ni great taboo! Usijaribu utaumia. Halafu umeanza kujikokolea!
Umeanza kulegea kama unameza makopa ya kinyamwezi! Chura ni chura tu. Anafaa kwa kufanyiwa "disection" kuanzia kwenye wowowo lake. Yaani kuwatwanga watu saba mmevimbisha midomo kama mpepigwa na mwiko wa pilau harusini?Umeayataka mwenyewe, mm sijaribiwi kaa chonjo
Unajua nani alianza kulegea kabla yangu? Natamani nikueleweshe lkn ngoja nikuweke akiba ....zao la ulegevu weweUmeanza kulegea kama unameza makopa ya kinyamwezi! Chura ni chura tu. Anafaa kwa kufanyiwa "disection" kuanzia kwenye wowowo lake. Yaani kuwatwanga watu saba mmevimbisha midomo kama mpepigwa na mwiko wa pilau harusini?
Hahahahaaa! Mtani moniccca! Unaonekana una "flat screen" ndiyo maana unaweweseka. Hujui uyumbie wapi. Masikini wee! Mke wa Tshishimbuzi!Unajua nani alianza kulegea kabla yangu? Natamani nikueleweshe lkn ngoja nikuweke akiba ....zao la ulegevu wewe
You sound like a lady bila shaka mikono yako inasugu kwa sababu ya kushikilia ukuta , [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahahaaa! Mtani moniccca! Unaonekana una "flat screen" ndiyo maana unaweweseka. Hujui uyumbie wapi. Masikini wee! Mke wa Tshishimbuzi!
And, I hope that there is no shemale along my way! I sincerely hope that the "o" of yours is like a hole in the nut's shabby head!Siyo kila vazi lisilo na miguu uite sketi. Nyingine ni misuli. Bana miguu mtani utapata mimba bure!You sound like a lady bila shaka mikono yako inasugu kwa sababu ya kushikilia ukuta , [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hatuna cha kuongea zaidi ya kuwania ndoo ya nne mfulilizo!Povu!!povu!! Hahahaha.
Simba daima. Mtaongea Sana team yebo yebo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Thubutuu. Labda uongozi wa TFF uendelee na madudu kama miaka yoteHatuna cha kuongea zaidi ya kuwania ndoo ya nne mfulilizo!
Kabisa mkuu!!! Sisi maneno kwetu mwiko, ni vitendo tu.Hatuna cha kuongea zaidi ya kuwania ndoo ya nne mfulilizo!
Binti hebu tulia sisi tunazungumzia ligi msimu 2017/2018 au we bado upo msimu 2016/2017?Eti wanaume! Wanaume gani wanashindwa kupigania points uwanja wana kwenda kudai mezani
Mashabiki wa Tanzania pekee!Yaani nyie watu aliyewaita mambumbumbu anawafahamu vzr sana, maana mnadhani kwa kushinda mechi moja ndiyo tayari mmeshakuwa mabingwa.
Hata kama mnaulimbukeni wa kombe la ligi kuu lkn si kwa kelele hizo...
Timu yenyewe mliocheza nayo ilikuwa ni second eleven lkn hamuishi kujisifia ujinga!
Huyo mkongwe okwi sijui nani alibahatisha tu , hana lolote jipya...
Kaeni kimya wekeni akiba ya maneno ligi ndiyo kwanza imeanza
Na mwaka huu Tff mmeiteka nyara; mwenyekiti- Karia, makamu- Wambura, kaimu katibu mkuu - Wilfred Kidau na 90% ya wajumbe wa kamati ya utendaji ni wa kwenu! Sijui mkishindwa msimu huu mta mtwisha nani lawama!Thubutuu. Labda uongozi wa TFF uendelee na madudu kama miaka yote
Hiyo mimbumbumbu haitakosa sababu mkuuNa mwaka huu Tff mmeiteka nyara; mwenyekiti- Karia, makamu- Wambura, kaimu katibu mkuu - Wilfred Kidau na 90% ya wajumbe wa kamati ya utendaji ni wa kwenu! Sijui mkishindwa msimu huu mta mtwisha nani lawama!
Sent using Jamii Forums mobile app