Dalili Gani umeiona kuwa Simba haitaweza kuitoa FC Platinum?Wanasimba wenzangu tujiandae kisaikolojia. Dalili zipo wazi kwamba hatutaweza kuwatoa FC Plutnum.
Shida kubwa ni dalili zinazoonyesha kwamba play off tutakayoangukia tutajikuta miguuni mwa UD Songo ambayo inacheza mechi yake kesho dhidi ya NAPSA , UD Songo inapewa nafasi kubwa kuitoa NAPSA.
Tupigeni magoti tusali.
Kama upo DSM nipe namba nikutafte tuweke mzigo. isiwe chini ya Millioni moja nakuendelea me naibetia Simba inapita.Wanasimba wenzangu tujiandae kisaikolojia. Dalili zipo wazi kwamba hatutaweza kuwatoa FC Plutnum...
Team yoyote duniani ktk counter attack itaonekana INA Kasi, mbona Kasi yao haikuonekana ktk Mashambulizi ya Kawaida??Ktk Mashambulizi ya kawaida walikuwa na kasi mfano wa ile inayooneshwa na Miquissone?Plutnum hasa kuanzia kiungo mpaka forward zao ni mpira wa kasi wakati Simba ina defence iliyo na wachezaj wasio na kasi.
Sawa. Lakin nakuambia Plutnum wanacheza kama Nkana na kwa kifupi Wazambia na Wazimbabwe ni walewale. Simba iliyoitoa Nkana si hii ya sasa. Hii huwez kufurukuta.Team yoyote duniani ktk counter attack itaonekana INA Kasi, mbona Kasi yao haikuonekana ktk Mashambulizi ya Kawaida??Ktk Mashambulizi ya kawaida walikuwa na kasi mfano wa ile inayooneshwa na Miquissone?
Uliangalia game ya kwanza ya kule Zimbabwe??Uliangalia Statistics zake baada ya Game?Mbona zote ukiondoa tofauti ya goli moja zilikuwa in favour of Simba??Sawa. Lakin nakuambia Plutnum wanacheza kama Nkana na kwa kifupi Wazambia na Wazimbabwe ni walewale. Simba iliyoitoa Nkana si hii ya sasa. Hii huwez kufurukuta.
Unajua kuwa Simba hii kwa uchache itaingia Nusu Fainali Champions League?Subiri wakati utakujibu vizuri.Tukutane hapa jumatano saa 1 kamiliSawa. Lakin nakuambia Plutnum wanacheza kama Nkana na kwa kifupi Wazambia na Wazimbabwe ni walewale. Simba iliyoitoa Nkana si hii ya sasa. Hii huwez kufurukuta.
Ussain Bolt angekuwa mchezaji soka bora kabisaPlutnum hasa kuanzia kiungo mpaka forward zao ni mpira wa kasi wakati Simba ina defence iliyo na wachezaj wasio na kasi.
Nyie ndio mnasababisha serikali itoe adhabu kali kwenye makosa ya kutumia bangi.Unajua kuwa Simba hii kwa uchache itaingia Nusu Fainali Champions League?Subiri wakati utakujibu vizuri.Tukutane hapa jumatano saa 1 kamili
Mpuuzi wewePlutnum hasa kuanzia kiungo mpaka forward zao ni mpira wa kasi wakati Simba ina defence iliyo na wachezaj wasio na kasi.
Watakuwa wanaumwa hao wenye mawazo hayoKwani kuna watu wana matokeo tofauti na hayo?