Orketeemi
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 5,063
- 12,866
Wanasimba wenzangu tujiandae kisaikolojia. Dalili zipo wazi kwamba hatutaweza kuwatoa FC Platnum.
Shida kubwa ni dalili zinazoonyesha kwamba play off tutakayoangukia tutajikuta miguuni mwa UD Songo ambayo inacheza mechi yake kesho dhidi ya NAPSA , UD Songo inapewa nafasi kubwa kuitoa NAPSA.
Tupigeni magoti tusali.