GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Timu haina hata Wiki Moja tokea iende Kimafungu huko Ismailia nchini Misri na hata Kocha Mkuu hajajuana na Wachezaji wake halafu mnalazimisha Mechi Mazoezi ya Timu ya Vijana ya Ismailia na kutoka nayo Sare mnakimbilia 'Kuposti ' Matokeo Mitandaoni na kuanza Kujisifia.
Naipenda sana Simba SC yangu ila GENTAMYCINE nachukia Upuuzi na Utoto huu wa 'Kipropaganda' ili tu Kuwahadaa Wanasimba ambao wengi Wao ( 75% ) ni Oya Oya ( Wasiojielewa ) waamini kuwa Simba SC ya sasa 'imenoga' na wasitishwe na Usajili wa Yanga SC pamoja na Mafanikio yao ya hivi karibuni.
Uongozi wa Simba SC kuna uharaka gani wa nyie kutafuta Mechi Mazoezi huko Kambini Ismailia nchini Misri wakati Timu haina bado Muunganiko na hata Makocha wapya hawajaweka 10% tu ya Ufundi ( Utaalam ) Wao?
Uongozi wa Simba SC aliyewaambieni kuwa mkienda Pre Season na msipocheza hata Mechi Moja ya Kirafiki huko mtalaumiwa ni nani?
Uongozi wa Simba SC kwanini basi hata msingesubiria angalau Wiki Mbili zipite Mazoezi yaanze Kuwaingia Wachezaji wetu, Kikosi Kikamilike angalau hata kwa 85% ukiachana na wale Walioko Taifa Stars ndipo muombe Mechi ya Kiukweli Ukweli ( Serious ) na Club Ismailia ile ya uhakika ninayoijua Mimi GENTAMYCINE na siyo hii ( hawa ) wa Jana?
Halafu Kiufundi ( Technically ) Kocha mwenye Akili huwa anapenda zaidi katika Pre Season yake apate Mechi Ngumu na za Timu za maana ili apate Upinzani hasa na ikiwezekana hata afungwe ili ajue wapi amepaweza na wapi apawekee mkazo zaidi ili akiingia katika Mashindano ya Ligi Kuu au Michuano ya Kimataifa awe amekamilika na ana Kikosi cha Ushindani kweli.
Najua mtanichukia na sasa mnanichukia mno tu ila mtanisamehe lakini GENTAMYCINE sipendi Unafiki na nimezaliwa kuwa Mkweli na Muwazi halafu msisahau kuwa hata huu Mpira Wenyewe nje ya Kuujua, Kuuchambua pia nimeucheza vile vile japo sikufikia huku juu kama Wengine.
Badilikeni na tuache hii Propaganda!!
Cc: Mokaze