Manara acha upotoshajiMkataba wa Simba ni 12.5 b kwa miaka 5 kinachoendelea ni ileile michezo wa 20b kwenye makaratasi.
Mkuu , siyo mimi niliyewaita hako ka jina. Mwanzilishi ni Manara . Naomba unisamehe. Nimekosa mimi !!! Nimekosa Sana mimi !!!Unajisikiaje kujifanya chizi usiye na akili! Wenzako wote hapo juu wamemjibu mtoa mada kwa kujenga hoja. Wewe peke yako unakimbilia kwenye ujinga.
Man u na teamviewer ni miaka mi5, wale chevloret sijui miaka 7 arsenal na dreamcast, arsenal na Emirates, intermillan na pirelli, madrid Emirates bado na Siemens, chelsea na yokohama na wenhine weengi.
Acha undezi wewe. Unadhani bila Mo kuibrand Simba hizo bilioni 26 zingekuja? Hivi ujinga utawaisha lini watu kama wewe?Yaani miaka 5 investor kawekeza Bil 26, Sasa mwamedi kaweka Bil 20 maisha yake yote........ tuendelee kuyaishi maneno ya Rage
Mimi kina MANDONGA kama hawa siwachekei, nawapiga kwennye MISHIPA YA FAHAMU tuNaona unapeleka makonde mazito sana non-stop, muache utamuua mwenzio.
Huyo ni bwana manndonga kakutana na shabani kaonekaHapa lazima akimbie uzi wake
Kwa nchi zinazoendelea huwa kuuza "chest rights" (haki za kifuani) kwa mdhamini tena kwa mda wa miaka 5.
Yaani hata kama baada ya miaka 3 akitokea potential sponsor anayetaka kuweka mpunga mrefu kwenye jezi inabidi asubiri mpaka mkataba mrefu uishe.
Moyo wangu umejaa huzuni na sononeko la hali ya juu baaada ya kuona watani zangu wanakosa mtu sahihi wa kukamilisha madili kwa manufaa ya klabu.
Kwa nchi zinazoendelea huwa kuuza "chest rights" (haki za kifuani) kwa mdhamini tena kwa mda wa miaka 5.
Mnajinyima fursa ya kupata madili ya juu zaidi katika siku za usoni.
Yaani hata kama baada ya miaka 3 akitokea potential sponsor anayetaka kuweka mpunga mrefu kwenye jezi inabidi asubiri mpaka mkataba mrefu uishe.
Kwani mliona wenzenu wajinga wallipo mpa SportPesa miaka 3?
Yes. Wamefanya hivyo kwa lengo la kutoa mwanya wa investors wengine wenye dau la juu wataojitokeza wakati wowoote hivi kaaribuni.
Wenzenu wana akili sana. Hawajakodisha shamba kwa mda mrefu.
Dah. Mmeniangusha sana watani.
Huwa wana-renew...hebu fikiria miaka miwili ijayo Simba achukue ubingwa caf,hiyo Thamani ya mkataba itakua ndogoMan u na teamviewer ni miaka mi5, wale chevloret sijui miaka 7 arsenal na dreamcast, arsenal na Emirates, intermillan na pirelli, madrid Emirates bado na Siemens, chelsea na yokohama na wenhine weengi.
Mjinga lazima ajibiwe kijinga hakuna jinsi nyingineUnajisikiaje kujifanya chizi usiye na akili! Wenzako wote hapo juu wamemjibu mtoa mada kwa kujenga hoja. Wewe peke yako unakimbilia kwenye ujinga.
Kwani aliyetoa pesa sio sponsor?.Moyo wangu umejaa huzuni na sononeko la hali ya juu baaada ya kuona watani zangu wanakosa mtu sahihi wa kukamilisha madili kwa manufaa ya klabu.
Kwa nchi zinazoendelea huwa kuuza "chest rights" (haki za kifuani) kwa mdhamini tena kwa mda wa miaka 5.
Mnajinyima fursa ya kupata madili ya juu zaidi katika siku za usoni.
Yaani hata kama baada ya miaka 3 akitokea potential sponsor anayetaka kuweka mpunga mrefu kwenye jezi inabidi asubiri mpaka mkataba mrefu uishe.
Kwani mliona wenzenu wajinga wallipo mpa SportPesa miaka 3?
Yes. Wamefanya hivyo kwa lengo la kutoa mwanya wa investors wengine wenye dau la juu wataojitokeza wakati wowoote hivi kaaribuni.
Wenzenu wana akili sana. Hawajakodisha shamba kwa mda mrefu.
Dah. Mmeniangusha sana watani.
Manara yamemkuta yakumkutaManara acha upotoshaji
Huyo mama pekupeku Hana akili timamu achana nayeSoma hii halafu uje utuambie kama moyo wako ulikuwa na huzuni tangu mwaka 2017, maana mkataba ulioisha wa Yanga na SportPesa ulikuwa wa miaka mitano
View attachment 2311188
Pole sana! Jamaa anakaba hadi penati, hakuna cha CEO wala nani, kila kitu yeye. Senzo akaona isiwe taabu!Moyo wangu umejaa huzuni na sononeko la hali ya juu ...
Mkuu kurenew mkataba hakuna Athari katika mkataba wa awali ispokuwa mtakubaliana tu terms mpya kwenye mkataba mpya unless otherwise uamue kuvunja mkataba ili uangalie maslahi kwingine, hivo mnaweza kurenew mkataba mpya ukiwa bado unautumikia mkataba wa zamaniHuwa wana-renew...hebu fikiria miaka miwili ijayo Simba achukue ubingwa caf,hiyo Thamani ya mkataba itakua ndogo