Simba SC Mmepigwa Parefu. Kifua Hakiuzwi Kwa Miaka 5

Simba SC Mmepigwa Parefu. Kifua Hakiuzwi Kwa Miaka 5

Unajisikiaje kujifanya chizi usiye na akili! Wenzako wote hapo juu wamemjibu mtoa mada kwa kujenga hoja. Wewe peke yako unakimbilia kwenye ujinga.
Mkuu , siyo mimi niliyewaita hako ka jina. Mwanzilishi ni Manara . Naomba unisamehe. Nimekosa mimi !!! Nimekosa Sana mimi !!!

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Kwan Yanga wame uza kwa bei gan ? ...maana hapa mtaa wa twiga wana chama wa utoo wana mshangaa engineer kwann hakuangazia upande wa mbili
 
Kwa nchi zinazoendelea huwa kuuza "chest rights" (haki za kifuani) kwa mdhamini tena kwa mda wa miaka 5.
Yaani hata kama baada ya miaka 3 akitokea potential sponsor anayetaka kuweka mpunga mrefu kwenye jezi inabidi asubiri mpaka mkataba mrefu uishe.

Soma hii halafu uje utuambie kama moyo wako ulikuwa na huzuni tangu mwaka 2017, maana mkataba ulioisha wa Yanga na SportPesa ulikuwa wa miaka mitano

1659365513361.png
 
Moyo wangu umejaa huzuni na sononeko la hali ya juu baaada ya kuona watani zangu wanakosa mtu sahihi wa kukamilisha madili kwa manufaa ya klabu.

Kwa nchi zinazoendelea huwa kuuza "chest rights" (haki za kifuani) kwa mdhamini tena kwa mda wa miaka 5.

Mnajinyima fursa ya kupata madili ya juu zaidi katika siku za usoni.

Yaani hata kama baada ya miaka 3 akitokea potential sponsor anayetaka kuweka mpunga mrefu kwenye jezi inabidi asubiri mpaka mkataba mrefu uishe.

Kwani mliona wenzenu wajinga wallipo mpa SportPesa miaka 3?

Yes. Wamefanya hivyo kwa lengo la kutoa mwanya wa investors wengine wenye dau la juu wataojitokeza wakati wowoote hivi kaaribuni.

Wenzenu wana akili sana. Hawajakodisha shamba kwa mda mrefu.

Dah. Mmeniangusha sana watani.

Imewauma hadi kinyesi kinagonga kwenye chupi,na bado mtaugua sana msimu huu
 
Man u na teamviewer ni miaka mi5, wale chevloret sijui miaka 7 arsenal na dreamcast, arsenal na Emirates, intermillan na pirelli, madrid Emirates bado na Siemens, chelsea na yokohama na wenhine weengi.
Huwa wana-renew...hebu fikiria miaka miwili ijayo Simba achukue ubingwa caf,hiyo Thamani ya mkataba itakua ndogo
 
Moyo wangu umejaa huzuni na sononeko la hali ya juu baaada ya kuona watani zangu wanakosa mtu sahihi wa kukamilisha madili kwa manufaa ya klabu.

Kwa nchi zinazoendelea huwa kuuza "chest rights" (haki za kifuani) kwa mdhamini tena kwa mda wa miaka 5.

Mnajinyima fursa ya kupata madili ya juu zaidi katika siku za usoni.

Yaani hata kama baada ya miaka 3 akitokea potential sponsor anayetaka kuweka mpunga mrefu kwenye jezi inabidi asubiri mpaka mkataba mrefu uishe.

Kwani mliona wenzenu wajinga wallipo mpa SportPesa miaka 3?

Yes. Wamefanya hivyo kwa lengo la kutoa mwanya wa investors wengine wenye dau la juu wataojitokeza wakati wowoote hivi kaaribuni.

Wenzenu wana akili sana. Hawajakodisha shamba kwa mda mrefu.

Dah. Mmeniangusha sana watani.
Kwani aliyetoa pesa sio sponsor?.
 
Hatujawahi kihurumiwa na uto,kwendaa
 
Huwa wana-renew...hebu fikiria miaka miwili ijayo Simba achukue ubingwa caf,hiyo Thamani ya mkataba itakua ndogo
Mkuu kurenew mkataba hakuna Athari katika mkataba wa awali ispokuwa mtakubaliana tu terms mpya kwenye mkataba mpya unless otherwise uamue kuvunja mkataba ili uangalie maslahi kwingine, hivo mnaweza kurenew mkataba mpya ukiwa bado unautumikia mkataba wa zamani

Mkataba wa man u na Chevrolet's ulisainiwa msimu wa mwaka 2014/2015 na mwisho wa mkataba ni msimu wa 2020/2021 ila kutokana na Mambo ya COVID Man u wakakosa sponsor mpya ikabidi wa extend tena mkataba na Chevrolet's

Kwenye hii mikataba waga wanapiga hesabu za kupanda thamani club ndomana waga kila mwaka inapanda, kwahiyo ukiangalia rates ya ongezeko la hela Kwa Simba hiyo ndio hesabu ya thamani yake Kwa kila mwaka

Arsenal na Fly Emirates waliingia mkataba wa kukaa mbele ya jezi mwaka 2006 hadi mwaka 2018, na waka extend tena mpaka 2024, ndio mkataba utaisha, kuna PSV Eindhoven walisaini mkataba wa zaidi ya miaka 20 na kampuni ya Philips

Kwahiyo ukiangalia Kwa man u walisaini mktaba wa miaka 6, na arsenal walisaini mkataba wa miaka 12, kwahiyo hao wote hawajui kama thamani ya club zao zinapanda ila wewe ndio unajua sana

Simba inaweza ikafeli kwenye mafanikio ya uwanjani ila sio kwenye biashara mkuu, Yule Barbara Yuko vizuri sana kwenye issue za biashara na ndio yeye anaiongeza thamani ligi ya NBC kutokana na misimamo yake kwenye mikataba

Barbara Tangu awe CEO wa Simba kaingia mikataba ya kikubwa sana, kwenye biashara anajua vizuri dunia inaenda wapi maana ndio field yake ilipo hivo nategemea ataendelea kuleta wawekezaji wengi na wenye tija

Mkataba na Mbet unahusu team moja tu ya senior, kwahiyo kuna room ya kuona wawekezaji wengine kwenye Simba Queens na ata under 20 pia, ndio ujue ni namna gani huyu dada ye anawaza kupandisha thamani ya club yake
 
Fly emarates kwenye jersey ya arsenal ina miaka zaid ya 15..ac milan miaka 10..madrid miaka 6 mpaka sasa...shida iko wapi kama pesa inaingia
 
Back
Top Bottom