makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Man u na teamviewer waliingia mkataba wwa miaka mitano net, km ni kurenew watarenew mbele ya safari.Huwa wana-renew...hebu fikiria miaka miwili ijayo Simba achukue ubingwa caf,hiyo Thamani ya mkataba itakua ndogo
We unaiona wapi B26? Au bado maneno ya Rage yanaishiAcha undezi wewe. Unadhani bila Mo kuibrand Simba hizo bilioni 26 zingekuja? Hivi ujinga utawaisha lini watu kama wewe?
Arsenal na Emirates palikua na Deni la uwanja..toka 2004-2014Man u na teamviewer waliingia mkataba wwa miaka mitano net, km ni kurenew watarenew mbele ya safari.
Arsenal walisaini na Emirates zaidi ya miaka hoyo mi 5.
2004 arsenal bado yupo HighburyArsenal na Emirates palikua na Deni la uwanja..toka 2004-2014
Mkataba wa arsenal na Emirates unahusisha Deni la kujenga Emirates,ndiyo maana ilikua mrefu...njia nzuri kwa timu ni kusaini mkataba mfupiMkuu kurenew mkataba hakuna Athari katika mkataba wa awali ispokuwa mtakubaliana tu terms mpya kwenye mkataba mpya unless otherwise uamue kuvunja mkataba ili uangalie maslahi kwingine, hivo mnaweza kurenew mkataba mpya ukiwa bado unautumikia mkataba wa zamani
Mkataba wa man u na Chevrolet's ulisainiwa msimu wa mwaka 2014/2015 na mwisho wa mkataba ni msimu wa 2020/2021 ila kutokana na Mambo ya COVID Man u wakakosa sponsor mpya ikabidi wa extend tena mkataba na Chevrolet's
Kwenye hii mikataba waga wanapiga hesabu za kupanda thamani club ndomana waga kila mwaka inapanda, kwahiyo ukiangalia rates ya ongezeko la hela Kwa Simba hiyo ndio hesabu ya thamani yake Kwa kila mwaka
Arsenal na Fly Emirates waliingia mkataba wa kukaa mbele ya jezi mwaka 2006 hadi mwaka 2018, na waka extend tena mpaka 2024, ndio mkataba utaisha, kuna PSV Eindhoven walisaini mkataba wa zaidi ya miaka 20 na kampuni ya Philips
Kwahiyo ukiangalia Kwa man u walisaini mktaba wa miaka 6, na arsenal walisaini mkataba wa miaka 12, kwahiyo hao wote hawajui kama thamani ya club zao zinapanda ila wewe ndio unajua sana
Simba inaweza ikafeli kwenye mafanikio ya uwanjani ila sio kwenye biashara mkuu, Yule Barbara Yuko vizuri sana kwenye issue za biashara na ndio yeye anaiongeza thamani ligi ya NBC kutokana na misimamo yake kwenye mikataba
Barbara Tangu awe CEO wa Simba kaingia mikataba ya kikubwa sana, kwenye biashara anajua vizuri dunia inaenda wapi maana ndio field yake ilipo hivo nategemea ataendelea kuleta wawekezaji wengi na wenye tija
Mkataba na Mbet unahusu team moja tu ya senior, kwahiyo kuna room ya kuona wawekezaji wengine kwenye Simba Queens na ata under 20 pia, ndio ujue ni namna gani huyu dada ye anawaza kupandisha thamani ya club yake
Uwanja wa Emirates ulianza kujengwa lini!?..sera ya kubana matumizi ya arsenal iliathiriwa pakubwa na ujenzi wa uwanja2004 arsenal bado yupo Highbury
Kama kimombo kinapanda soma hapoMoyo wangu umejaa huzuni na sononeko la hali ya juu baaada ya kuona watani zangu wanakosa mtu sahihi wa kukamilisha madili kwa manufaa ya klabu.
Kwa nchi zinazoendelea huwa kuuza "chest rights" (haki za kifuani) kwa mdhamini tena kwa mda wa miaka 5.
Mnajinyima fursa ya kupata madili ya juu zaidi katika siku za usoni.
Yaani hata kama baada ya miaka 3 akitokea potential sponsor anayetaka kuweka mpunga mrefu kwenye jezi inabidi asubiri mpaka mkataba mrefu uishe.
Kwani mliona wenzenu wajinga wallipo mpa SportPesa miaka 3?
Yes. Wamefanya hivyo kwa lengo la kutoa mwanya wa investors wengine wenye dau la juu wataojitokeza wakati wowoote hivi kaaribuni.
Wenzenu wana akili sana. Hawajakodisha shamba kwa mda mrefu.
Dah. Mmeniangusha sana watani.
Vipi kuhusu hizo timu zingineMkataba wa arsenal na Emirates unahusisha Deni la kujenga Emirates,ndiyo maana ilikua mrefu...njia nzuri kwa timu ni kusaini mkataba mfupi
Umeandika kama mtu unayejua maana ya terms za mikataba. Unafungua threads tofauti tofauti ukijifanya mjuaji kumbe zuzu.Moyo wangu umejaa huzuni na sononeko la hali ya juu baaada ya kuona watani zangu wanakosa mtu sahihi wa kukamilisha madili kwa manufaa ya klabu.
Kwa nchi zinazoendelea huwa kuuza "chest rights" (haki za kifuani) kwa mdhamini tena kwa mda wa miaka 5.
Mnajinyima fursa ya kupata madili ya juu zaidi katika siku za usoni.
Yaani hata kama baada ya miaka 3 akitokea potential sponsor anayetaka kuweka mpunga mrefu kwenye jezi inabidi asubiri mpaka mkataba mrefu uishe.
Kwani mliona wenzenu wajinga wallipo mpa SportPesa miaka 3?
Yes. Wamefanya hivyo kwa lengo la kutoa mwanya wa investors wengine wenye dau la juu wataojitokeza wakati wowoote hivi kaaribuni.
Wenzenu wana akili sana. Hawajakodisha shamba kwa mda mrefu.
Dah. Mmeniangusha sana watani.
Man u,Madrid n.k Thamani yao haiongezeki,wameshafikia kilele Cha mafanikio tofauti na Simba na yangaVipi kuhusu hizo timu zingine
Hakuna kilele cha mafanikio kila kampuni ina malengo ya kuongeza thamaniMan u,Madrid n.k Thamani yao haiongezeki,wameshafikia kilele Cha mafanikio tofauti na Simba na yanga
Madrid utaiongezaje Thamani!!?..la liga,uefa,super cup,world cup wanabeba kila siku,yanga akibeba CAF anaongezrka thamaniHakuna kilele cha mafanikio kila kampuni ina malengo ya kuongeza thamani
Ndiyo bado wanataka waendelee kubeba makombe kila mwakaMadrid utaiongezaje Thamani!!?..la liga,uefa,super cup,world cup wanabeba kila siku,yanga akibeba CAF anaongezrka thamani
Arsenal walianza kuvaa fly Emirates 2004? , arsenal walivaa fly Emirates wakiwa highbury.?Uwanja wa Emirates ulianza kujengwa lini!?..sera ya kubana matumizi ya arsenal iliathiriwa pakubwa na ujenzi wa uwanja
Kama thamani haiongezeki kwanini makampuni yanapigana vikumbo, na kila mkataba ukiisha wanasaini moya kwa dau kubwa zaidi?Man u,Madrid n.k Thamani yao haiongezeki,wameshafikia kilele Cha mafanikio tofauti na Simba na yanga
Emirates alimkopesha hela arsenal ajenge uwanja,malipo pamoja na vingine lakini kukaa kifuani na jina la uwanja..Arsenal walianza kuvaa fly Emirates 2004? , arsenal walivaa fly Emirates wakiwa highbury.?
Ujue hapa tunazungumzia mdhamini anaekaa kifuani.
Demand ni kubwa,supply constantKama thamani haiongezeki kwanini makampuni yanapigana vikumbo, na kila mkataba ukiisha wanasaini moya kwa dau kubwa zaidi?