Sultan MackJoe Khalifa
JF-Expert Member
- Nov 24, 2022
- 6,782
- 14,148
Kwenye mpira akuna miujiza,atakae fanya makosa atafungwa.Ni kwenye kukusanya points.
Siyo kwenye knockout stage(s). Miujiza tu ndo itokee lakini kwa quality ya kikosi SIMBA ni 20 times underdog kwa Ahly.
Kikosi hiki ni bora kuliko kile,tofauti ni muda,kile kikosi kilicheza misimu mingi wakiwa pamoja tofauti na hiki.Msema kweli ni mpenzi wa Miungu. siuoni huo uwezo. Kikosi kilichoifunga Alhly sio hichi. Angalia kwa makini kama kuna straika wa kufunga kesho. Hivi goli la pale Azam complex alifunga nani
Anaruhusu sana magoliHuyu kocha hadi mumfukuze
It will be too late
Sawa kiongoziMnaenda kucheza na Professional players ambao they can make a difference popote na muda wowote.
Mambo ya kwa mkapa hatoki mtu, sio agenda tena kama ilivyokuwa kwa RAJA de Casablanca.
Nimeongea na Percy jioni hii ambaye ni rafiki yangu wa karibu sana tangu nipo nae SA, ameniambia kwamba wao wamekuja kushinda hivyo SSC icheze mpira na wao wacheze Mpira mwenye uwezo na quality ataondoka na Mpira.
Kesho ndio kesho, Ahly analitaka kombe sio kwa sababu ya fedha, bali kwa sababu ya Historia.
Naiona ile picha ya Hamza wa Raja Casablanca pale Lupaso ikihamia kwa Ashraf na Percy.
All the best SSC