Simba SC mnayakumbuka ya Raja Casablanca?

Simba SC mnayakumbuka ya Raja Casablanca?

Ni kwenye kukusanya points.
Siyo kwenye knockout stage(s). Miujiza tu ndo itokee lakini kwa quality ya kikosi SIMBA ni 20 times underdog kwa Ahly.
Kwenye mpira akuna miujiza,atakae fanya makosa atafungwa.
Hata kwenye stage ya points ukiwa na points chache unatolewa huvuki.
 
"MASHABIKI WA YANGA NI MAMBWA HAKUNA LOLOTE WANALOJUA KUHUSU KANDANDA ILA MUDA WOTE WANAZOMEA TU UTADHANI MANYANI"

- DR LUC EYMAEL 2020
 
images (2) (1) (1).jpeg
 
Msema kweli ni mpenzi wa Miungu. siuoni huo uwezo. Kikosi kilichoifunga Alhly sio hichi. Angalia kwa makini kama kuna straika wa kufunga kesho. Hivi goli la pale Azam complex alifunga nani
Kikosi hiki ni bora kuliko kile,tofauti ni muda,kile kikosi kilicheza misimu mingi wakiwa pamoja tofauti na hiki.
 
Tena hawa jamaa wamewapa heshima sana mngekula hata 5 hadi sasa
 
Hamna kitu yaan honestly sioni simba inachocheza. Kuna possibly simba akala 3
Ndio mjue huyu kocha ni comedian na anabahatisha

Hadi sasa hana first eleven
 
Mnaenda kucheza na Professional players ambao they can make a difference popote na muda wowote.

Mambo ya kwa mkapa hatoki mtu, sio agenda tena kama ilivyokuwa kwa RAJA de Casablanca.

Nimeongea na Percy jioni hii ambaye ni rafiki yangu wa karibu sana tangu nipo nae SA, ameniambia kwamba wao wamekuja kushinda hivyo SSC icheze mpira na wao wacheze Mpira mwenye uwezo na quality ataondoka na Mpira.

Kesho ndio kesho, Ahly analitaka kombe sio kwa sababu ya fedha, bali kwa sababu ya Historia.

Naiona ile picha ya Hamza wa Raja Casablanca pale Lupaso ikihamia kwa Ashraf na Percy.

All the best SSC
Sawa kiongozi
 
Back
Top Bottom