KAGAMEE
JF-Expert Member
- Dec 20, 2013
- 4,457
- 5,454
Simba kwa sasa hamna mtu anayeweza kuongea.Na wasipojibu wengi tutaanza kuyaamini maneno ya Manara!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Simba kwa sasa hamna mtu anayeweza kuongea.Na wasipojibu wengi tutaanza kuyaamini maneno ya Manara!
Leo anasema akiwa nje, vp alivyokuwa ndani kwa nn hakusema, huoni alikuwa sehemu ya huo mchezo mchafu..Kwahiyo mtu kusema michezo michafu inayoendelea klabuni ni kuichafua?
Aliyeturoga waTZ alifanikiwa 'kweri kweri'
Wacheze mpira mzuri watu wataenda uwanjani na channel watalipia.Simba kwa sasa hamna mtu anayeweza kuongea.
Hii sentensi yako ya mwisho ilipaswa uikoleze kaka, ikae kivyake ili isomeke vizuri.Hapana Mo na Barbra inabidi wawajibike, sijapendezwa na uonevu na upuuzi wa wazi kabisa
Huyo Barbra simuamini kabisa, kuna siku tutakuja kuyakumbuka maneno ya Manara
Huyo Manara ni mnafki kwa nn hakusema kipindi hicho tena kuna watu wameondoka Simba hata kabla yake na aliwasemea mbovu mfano senzo ila leo anamsemea mema.Asichojua Haji ni kuwa press aliyofanya leo inadhihirisha tuhuma kuwa alikuwa anaihujumu Simba kwani alikuwa na kinyongo muda mrefu hivyo alliona njia ya kulipiza kisasi ni kuwa double agent. Amekula sana hela ya GSM na Azam kuihujumu Simba.
Jamaa ni bonge la mnafki aliyetukukaHiyo michezo michafu kwanini hakuisema siku zote akiwa ndani ya Simba????.....Haji Manara si ndio huyu alikuwa anasema Simba sc inaongozwa kisasa sio kama timu zingine....Simba hatuhitaji tena waganga njaa kama yeye atuache.
Well saidPress yake ya leo ni ya "Kimkakati' ya Kuichafua Klabu ya Simba baada ya Kutumwa na Maadui zetu wakubwa wa Jangwani na Chamanzi.
Nimemsikiliza Hoja zake zote na hakuna jipya sana sana ameshatuhakikishia ni kwanini ana udhaifu mkubwa wa Wanaume wengi wa Pemba, Lamu na Mombasa.
Kayakanyaga hivyo awe Mvumilivu mno.
Unayemuamini nani tumuweke hiyo nafasi ili moyo wako utulieHapana Mo na Barbra inabidi wawajibike, sijapendezwa na uonevu na upuuzi wa wazi kabisa
Huyo Barbra simuamini kabisa, kuna siku tutakuja kuyakumbuka maneno ya Manara
Kama wewe Ulivyo mzigo wa ManaraUmejiunga JF 2010 lakini michango yako humu inaonyesha jinsi gani ulivyo mzigo!
Mchezo mchafu kumnyima kazi na mshahara ama upi huo mchafuKwahiyo mtu kusema michezo michafu inayoendelea klabuni ni kuichafua?
Aliyeturoga waTZ alifanikiwa 'kweri kweri'
Manara Haji,takataka tu akwende zake! Mwanaume gani analalama weee utafikiri demu.GSM+ASAS+AZAM= MANARA
Tatizo lenu hamtaki kujibu hoja za manara bali mmebaki na mipasho na vijembe Kama waimba taarabu, jikiteni kwenye hoja za manara zijibiwe tuone nani mkweli nani muongo atutaki mipasho sisi apaHahahahahah
Ngoja tuanze nae huyo maana anania mbaya.
Asili ya ukweli huwa haijifichi na ukweli hata ukipuuzwa ukaa na kukumbukwa kwe wenye vichwa vya wenye hekima. Lkn uongo hupepea baada ya kumaliza kazi iliokusudiwa kwa uonho huwo.
Sasa manala anaonekana ni mtu wa namna gani baada ya kuongea machache yake aliosema mwenyewe. Mfano anadai waliofukuzwa simba wamefungwa kwa nn akulizungumza hili na yeye ndie aliepinga taarifa za waliofukuzwa wakati wakizungumzia mkataba aliousema manala kuwa anao?
Lkn pia manala huyu huyu ndio aliemchafua senzo kama msaliti namba moja rejea press yake kwenye mechi ya aly ahal.
Anasema alikuwa anajigaramia.kwa.kila kitu lkn kabla ya kukataa ajasema na zile fine alizokuwa anapigwa na TFF nani alikuwa anamlipia?
Manara press ya leo anakuwa ni kama anagombanisha simba na azam au anagombanisha MO na azam kwa uchonganishi huu wa jicho la tatu manala kajionesha uhalisia wake.
kama umenifukuza kwa kashifa mbaya lazima na mimi kama nikipewa nafasi au nina uwezo wa kukuchafua nifanye hivyo lakini kama tumeachana kwa uzuri sawa,hivyo basi manara anashambuliwa kutokana na nguvu ya pesa ya Mo,wala hakuna anaejali.Totally unprofessional from Manara. Mimi sikuwahi kuwa mfuasi wake tokea akiwa Simba.
Ukiachilia tu sifa yake kubwa ya uhamasishaji Manara hafai kupewa nafasi ya maana sehemu yoyote maana ni mropokaji/msema hovyo.
Hata kama ukiachana na mwajiri wako kwa ubaya kwa mtu anaejitambua huwezi kuenda kumchafua sehemu hasa kwenye media.
Hii itakufanya kutoaminika hata na huyo anaetaka kukuajiri maana atajua tu kuwa siku mkishindwana nae utaenda kumchafua tu. Manara na wanaomtumia wote akili zao finyu sana. Hawana upeo mzuri wa kufikiri.
Press yake ya leo ni ya "Kimkakati' ya Kuichafua Klabu ya Simba baada ya Kutumwa na Maadui zetu wakubwa wa Jangwani na Chamanzi.
Nimemsikiliza Hoja zake zote na hakuna jipya sana sana ameshatuhakikishia ni kwanini ana udhaifu mkubwa wa Wanaume wengi wa Pemba, Lamu na Mombasa.
Kayakanyaga hivyo awe Mvumilivu mno.