Simba SC, Mo Dewji na CEO Barbara nawaomba msimjibu lolote (chochote) aliyekuwa Msemaji 'Mnafiki' Haji Manara, ila mtuachie Mashabiki

Simba SC, Mo Dewji na CEO Barbara nawaomba msimjibu lolote (chochote) aliyekuwa Msemaji 'Mnafiki' Haji Manara, ila mtuachie Mashabiki

Hapana Mo na Barbra inabidi wawajibike, sijapendezwa na uonevu na upuuzi wa wazi kabisa

Huyo Barbra simuamini kabisa, kuna siku tutakuja kuyakumbuka maneno ya Manara
Hii sentensi yako ya mwisho ilipaswa uikoleze kaka, ikae kivyake ili isomeke vizuri.
 
Asichojua Haji ni kuwa press aliyofanya leo inadhihirisha tuhuma kuwa alikuwa anaihujumu Simba kwani alikuwa na kinyongo muda mrefu hivyo alliona njia ya kulipiza kisasi ni kuwa double agent. Amekula sana hela ya GSM na Azam kuihujumu Simba.
Huyo Manara ni mnafki kwa nn hakusema kipindi hicho tena kuna watu wameondoka Simba hata kabla yake na aliwasemea mbovu mfano senzo ila leo anamsemea mema.
 
Eti Mo alimpigia simu na kumwambia yeye Haji kawa maarufu kuliko yeye Mo,hivyo atamfukuza[emoji16] Kwa sentensi hii tayari kashajijibu lile swali la anajiona mkubwa kuliko simba japo kakataa! Manara ni dude ambalo viongozi walililea sasa linajiona kubwa sanaa,kongole kwa viongozi kumuondoa
 
Hiyo michezo michafu kwanini hakuisema siku zote akiwa ndani ya Simba????.....Haji Manara si ndio huyu alikuwa anasema Simba sc inaongozwa kisasa sio kama timu zingine....Simba hatuhitaji tena waganga njaa kama yeye atuache.
Jamaa ni bonge la mnafki aliyetukuka
 
Press yake ya leo ni ya "Kimkakati' ya Kuichafua Klabu ya Simba baada ya Kutumwa na Maadui zetu wakubwa wa Jangwani na Chamanzi.

Nimemsikiliza Hoja zake zote na hakuna jipya sana sana ameshatuhakikishia ni kwanini ana udhaifu mkubwa wa Wanaume wengi wa Pemba, Lamu na Mombasa.

Kayakanyaga hivyo awe Mvumilivu mno.
Well said
 
Jezi imechafuka majina ya Mo utadhani timu za sudani,
Hii hapa jezi ya sudan
Screenshot_20210804-203105.jpg
 
Hahahahahah
Ngoja tuanze nae huyo maana anania mbaya.
Asili ya ukweli huwa haijifichi na ukweli hata ukipuuzwa ukaa na kukumbukwa kwe wenye vichwa vya wenye hekima. Lkn uongo hupepea baada ya kumaliza kazi iliokusudiwa kwa uonho huwo.
Sasa manala anaonekana ni mtu wa namna gani baada ya kuongea machache yake aliosema mwenyewe. Mfano anadai waliofukuzwa simba wamefungwa kwa nn akulizungumza hili na yeye ndie aliepinga taarifa za waliofukuzwa wakati wakizungumzia mkataba aliousema manala kuwa anao?

Lkn pia manala huyu huyu ndio aliemchafua senzo kama msaliti namba moja rejea press yake kwenye mechi ya aly ahal.

Anasema alikuwa anajigaramia.kwa.kila kitu lkn kabla ya kukataa ajasema na zile fine alizokuwa anapigwa na TFF nani alikuwa anamlipia?

Manara press ya leo anakuwa ni kama anagombanisha simba na azam au anagombanisha MO na azam kwa uchonganishi huu wa jicho la tatu manala kajionesha uhalisia wake.
Tatizo lenu hamtaki kujibu hoja za manara bali mmebaki na mipasho na vijembe Kama waimba taarabu, jikiteni kwenye hoja za manara zijibiwe tuone nani mkweli nani muongo atutaki mipasho sisi apa
 
Totally unprofessional from Manara. Mimi sikuwahi kuwa mfuasi wake tokea akiwa Simba.

Ukiachilia tu sifa yake kubwa ya uhamasishaji Manara hafai kupewa nafasi ya maana sehemu yoyote maana ni mropokaji/msema hovyo.

Hata kama ukiachana na mwajiri wako kwa ubaya kwa mtu anaejitambua huwezi kuenda kumchafua sehemu hasa kwenye media.

Hii itakufanya kutoaminika hata na huyo anaetaka kukuajiri maana atajua tu kuwa siku mkishindwana nae utaenda kumchafua tu. Manara na wanaomtumia wote akili zao finyu sana. Hawana upeo mzuri wa kufikiri.
kama umenifukuza kwa kashifa mbaya lazima na mimi kama nikipewa nafasi au nina uwezo wa kukuchafua nifanye hivyo lakini kama tumeachana kwa uzuri sawa,hivyo basi manara anashambuliwa kutokana na nguvu ya pesa ya Mo,wala hakuna anaejali.

Haji manara anajua mengi ndani ya simba kuliko nyie mnaomshambulia humu jukwaani,hivyo ni afadhali kujikalia kimya kama huna unalojua kuliko kutetea ujinga.kwa upofu huu ndio maana wakati mwingine serikali ikiwatia jamba jamba hawa matajiri watu wanapiga kelele eti serikali inawaonea wakati wana mambo ya ajabu sana.
 
Press yake ya leo ni ya "Kimkakati' ya Kuichafua Klabu ya Simba baada ya Kutumwa na Maadui zetu wakubwa wa Jangwani na Chamanzi.

Nimemsikiliza Hoja zake zote na hakuna jipya sana sana ameshatuhakikishia ni kwanini ana udhaifu mkubwa wa Wanaume wengi wa Pemba, Lamu na Mombasa.

Kayakanyaga hivyo awe Mvumilivu mno.

yaani uchungu wote ule wa manara haujaona tatizo hapo simba?

au mimba yako ilitunga kwa kubakwa?
 
Back
Top Bottom