Simba SC, Mo Dewji na CEO Barbara nawaomba msimjibu lolote (chochote) aliyekuwa Msemaji 'Mnafiki' Haji Manara, ila mtuachie Mashabiki

Hapana Mo na Barbra inabidi wawajibike, sijapendezwa na uonevu na upuuzi wa wazi kabisa

Huyo Barbra simuamini kabisa, kuna siku tutakuja kuyakumbuka maneno ya Manara
Hii sentensi yako ya mwisho ilipaswa uikoleze kaka, ikae kivyake ili isomeke vizuri.
 
Asichojua Haji ni kuwa press aliyofanya leo inadhihirisha tuhuma kuwa alikuwa anaihujumu Simba kwani alikuwa na kinyongo muda mrefu hivyo alliona njia ya kulipiza kisasi ni kuwa double agent. Amekula sana hela ya GSM na Azam kuihujumu Simba.
Huyo Manara ni mnafki kwa nn hakusema kipindi hicho tena kuna watu wameondoka Simba hata kabla yake na aliwasemea mbovu mfano senzo ila leo anamsemea mema.
 
Eti Mo alimpigia simu na kumwambia yeye Haji kawa maarufu kuliko yeye Mo,hivyo atamfukuza[emoji16] Kwa sentensi hii tayari kashajijibu lile swali la anajiona mkubwa kuliko simba japo kakataa! Manara ni dude ambalo viongozi walililea sasa linajiona kubwa sanaa,kongole kwa viongozi kumuondoa
 
Hiyo michezo michafu kwanini hakuisema siku zote akiwa ndani ya Simba????.....Haji Manara si ndio huyu alikuwa anasema Simba sc inaongozwa kisasa sio kama timu zingine....Simba hatuhitaji tena waganga njaa kama yeye atuache.
Jamaa ni bonge la mnafki aliyetukuka
 
Well said
 
Jezi imechafuka majina ya Mo utadhani timu za sudani,
Hii hapa jezi ya sudan
 
Tatizo lenu hamtaki kujibu hoja za manara bali mmebaki na mipasho na vijembe Kama waimba taarabu, jikiteni kwenye hoja za manara zijibiwe tuone nani mkweli nani muongo atutaki mipasho sisi apa
 
Jamaa alianza chokochoko wakati tunajiandaa na game ya kigoma TUKAMCHUNIA akajua tukimaliza tutamgusa tukatulia...TUPO KWENYE USAJILI anaanza uchoko hakuna haja ya kumjibu boys huyo refocus kwenye mambo yetu.
 
kama umenifukuza kwa kashifa mbaya lazima na mimi kama nikipewa nafasi au nina uwezo wa kukuchafua nifanye hivyo lakini kama tumeachana kwa uzuri sawa,hivyo basi manara anashambuliwa kutokana na nguvu ya pesa ya Mo,wala hakuna anaejali.

Haji manara anajua mengi ndani ya simba kuliko nyie mnaomshambulia humu jukwaani,hivyo ni afadhali kujikalia kimya kama huna unalojua kuliko kutetea ujinga.kwa upofu huu ndio maana wakati mwingine serikali ikiwatia jamba jamba hawa matajiri watu wanapiga kelele eti serikali inawaonea wakati wana mambo ya ajabu sana.
 

yaani uchungu wote ule wa manara haujaona tatizo hapo simba?

au mimba yako ilitunga kwa kubakwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…