Simba SC, Mo Dewji na CEO Barbara nawaomba msimjibu lolote (chochote) aliyekuwa Msemaji 'Mnafiki' Haji Manara, ila mtuachie Mashabiki

manara kasafishika
 
Mo ni tapeli. CAG akakague hesabu za simba. Yaliyomkuta Manara ni mambo ya wahindi. Wahindi wanapenda kudhurumu ngozi nyeusi.
Kabisa. Badala ya kumbrush aside na kumsuta Haji (hulka ya waTZ wengi), hawa wachunguzwe ili kama wanastahili wasafishike. Usikute hii mistreatment inawagusa staff (soma vibarua) wote waliopo pale

Wekeni ushabiki wa Simba na Yanga pembeni kidogo
 
Utafanya hivyo kama huna future. Kama unaona career yako ndio imeishia hapo sawa. Lakini kama unataka kuendelea na career yako kamwe huwezi kufanya hivyo.
 
Jamaa alianza chokochoko wakati tunajiandaa na game ya kigoma TUKAMCHUNIA akajua tukimaliza tutamgusa tukatulia...TUPO KWENYE USAJILI anaanza uchoko hakuna haja ya kumjibu boys huyo refocus kwenye mambo yetu.
Acha kumjadili Manara, tujadili hoja zake, klabu hakuna siku itakaa itulie. Wakati wa kutoa hoja na kujibiwa ni sasa, muda si mrefu kuna joto la watani wa hadi, baada ya hapo ligi, baada ya hapo klabu bingwa. Kama hoja za Manara zina mashiko basi zisahihishwe, Mo ajirekebishe nae, ila wewe huwezi kuyaona makosa kea sababu pesa za Mo zinawapofusha
 
Ni upumbavu kwa timu ambayo imechukua premier league 4 consecutive times, FA twice na caf champions league quater finals twice kudhania kuwa yanga ndo adui yake mkubwa, this kind of thinking kwako na viongozi wa mpira ndo inaturudisha nyuma.
Mbumbumbu fc manara asiwatoe njiani kwenye malengo makubwa ya kucheza fainali ya caf.
 
Huna unalojua wewe zwazwa ...

Huo mkataba wa milion 300 azam alitoa kwa Simba na yanga na wote wakasaini. Ila wakajakugundua ni pesa ndogo Azam ndio akaja na hiyo dili ya Billion 46 kwa yanga na Simba Tena .

Yanga akasaini ila Simba akagoma kuwa yeye Ni mkubwa kwa yanga. Mo ameshasema Azzam asipoongeza Dau ataweka dau zaidi ya Hilo.

Mengine uliyoongea ni takataka

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Miaka 6 bila mkataba, kalala kwenye makoshi bla bla bla..

Bado tiketi za ndege alikuwa akinunua mwenyewe na leo kwenye press kaenda na mabaunsa watatu! Hela zinatoka wapi? Yule kapiga hela sana ila kama kawaida yake ku play victim!
Nyie ni wajinga sana hiyo miaka sita kwani yote ni ya MO Dewij?

Mbona kuanzia 2015 hamsemi kuwa timu ilikuwa chini ya Evans Aveva na alikuwa hahapewa huo mkataba!

Unajua Mo ameanza kuichukua Simba lini ?

Nyie ni wajinga sana

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Mo ni tapeli. CAG akakague hesabu za simba. Yaliyomkuta Manara ni mambo ya wahindi. Wahindi wanapenda kudhurumu ngozi nyeusi.
Ona ulivyo taahira Jinga kabisa!

Tangu lini CAG akakague Private entities !

Wewe Kama kweli ni shabiki wa Simba zile annual financial statement / Reports za Simba huwa unazisoma kweli ?

Ukute nabishana na takataka liko Mbagala halina mbele Wala nyuma.

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
videmu vyembamba vikianzaga kuliwa na mabosi zao vinaleta nyodo sana
 
Kwahiyo mtu kusema michezo michafu inayoendelea klabuni ni kuichafua?

Aliyeturoga waTZ alifanikiwa 'kweri kweri'
Wajibu hoja na wao kwa press conference. Huuni ulofa na uzwazwa. Kila mtu anapothubutu kusema ukweli kwa hoja anafokewa.

Na bugatti hajagusa panapostahili.. huyu muwekezaji amekuwa akitishia ilihali watu wanatilia shaka uwekezaji huo unaomnufaisha yeye na biashara zake.

Ni nani asiyejua mpira una hela hasa hivi vilabu viwili shida vinaendeshwa kienyeji kwenye mifuko ya watu wachache.

Atasikika shabiki mmoja akisema eti inanipa raha acha iniue.

Bado 51% ipo kwa wanachama. Ambao ni Watanzania. Serikali ikiamua inaweza kumtuma CAG kukagua. Pia hata serikalia inaweza kuleta wakaguzi wengine wa kiserikali kukagua mahesabu au hata wapelelezi wakakagua pia. Kisheria inaruhusiwa.
 
Watu kuhoji ni muhimu hakuna masuala ya mahaba hapo. Muwekezaji huyo aliwahi kuhojiwa na kada fulani akaashia kumjibu kwa tuhuma binafsi kisa maslahi nakupelekea kutaka kujitoa.
 
Bado 51% ipo kwa wanachama. Ambao ni Watanzania. Serikali ikiamua inaweza kumtuma CAG kukagua. Pia hata serikalia inaweza kuleta wakaguzi wengine wa kiserikali kukagua mahesabu au hata wapelelezi wakakagua pia. Kisheria inaruhusiwa.
Hivi unajua kazi za CAG WEWE takataka ?

Hivi Shule huwa mnaenda kukua au kunywa uji?

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Kabisa. Badala ya kumbrush aside na kumsuta Haji (hulka ya waTZ wengi), hawa wachunguzwe ili kama wanastahili wasafishike. Usikute hii mistreatment inawagusa staff (soma vibarua) wote waliopo pale

Wekeni ushabiki wa Simba na Yanga pembeni kidogo
Upo sahihi kabisa. Sisi wengine tuliwaambia Mo ni tapeli toka zamani ila tukaishiwa kutukanwa. Ingekuwa ni nchi nyingine tayari upelelezi ungekuwa umeshaanza maramoja. Ila kwetu sisi bado sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…