tutamkumbukamagu
JF-Expert Member
- Jul 3, 2021
- 317
- 270
manara kasafishikakama umenifukuza kwa kashifa mbaya lazima na mimi kama nikipewa nafasi au nina uwezo wa kukuchafua nifanye hivyo lakini kama tumeachana kwa uzuri sawa,hivyo basi manara anashambuliwa kutokana na nguvu ya pesa ya Mo,wala hakuna anaejali.
Haji manara anajua mengi ndani ya simba kuliko nyie mnaomshambulia humu jukwaani,hivyo ni afadhali kujikalia kimya kama huna unalojua kuliko kutetea ujinga.kwa upofu huu ndio maana wakati mwingine serikali ikiwatia jamba jamba hawa matajiri watu wanapiga kelele eti serikali inawaonea wakati wana mambo ya ajabu sana.