OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
🤣🤣🤣 yaani mtu aweke 40b kwa ajili ya kujifurahisha tuSasa mtu akipata faida kuna shida gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣 yaani mtu aweke 40b kwa ajili ya kujifurahisha tuSasa mtu akipata faida kuna shida gani?
yaani mambo yake binafsi ajibiwe na Simba,huu ni upunguani. Ajibiwe na waliomtuma,Simba haikumtuma kukubali kufanya kazi bila mkataba, Simba haikumtuma kukubali kufanya kazi bila malipo na bra bra zingine zoteHapana tuwe wakweli manara kavumilia mengi sana na hoja zake simba hakuna wakujibu
Napinga hii hoja.Ukweli lazima usemwe.Hans POpe Zakaria kama ilivyo ada majibu Manara HajiPress yake ya leo ni ya "Kimkakati' ya Kuichafua Klabu ya Simba baada ya Kutumwa na Maadui zetu wakubwa wa Jangwani na Chamanzi.
Nimemsikiliza Hoja zake zote na hakuna jipya sana sana ameshatuhakikishia ni kwanini ana udhaifu mkubwa wa Wanaume wengi wa Pemba, Lamu na Mombasa.
Kayakanyaga hivyo awe Mvumilivu mno.
Huu ndio ushahidi wa kutumika na GSM wakati wa mechi na sasa AZAM. Anatakiwa kutokujibiwa kabisaJamaa alianza chokochoko wakati tunajiandaa na game ya kigoma TUKAMCHUNIA akajua tukimaliza tutamgusa tukatulia...TUPO KWENYE USAJILI anaanza uchoko hakuna haja ya kumjibu boys huyo refocus kwenye mambo yetu.
Mwamedi alisema ametumia B21 hela zake,yaani Simba haiingizi hata mia, hapa anaprove kuwa anaongoza mbumbumbu kabisa na hakuna aliyehojiMo aseme ni faida kiasi gani anapata kwa matangazo ya bidhaa zake kwenye jezi ya Simba
wewe ulitaka asifaidikeKwa maelezo ya manara mo ni mhuni anajinufaisha na brand ya simba kwa mgongo wa uwekezaji
Uelewa wako mdogowewe ulitaka asifaidike
utopolo mnaumia sana na uwepo wa mo pale simbaUelewa wako mdogo