Simba SC, Mo Dewji na CEO Barbara nawaomba msimjibu lolote (chochote) aliyekuwa Msemaji 'Mnafiki' Haji Manara, ila mtuachie Mashabiki

Simba SC, Mo Dewji na CEO Barbara nawaomba msimjibu lolote (chochote) aliyekuwa Msemaji 'Mnafiki' Haji Manara, ila mtuachie Mashabiki

Hapana tuwe wakweli manara kavumilia mengi sana na hoja zake simba hakuna wakujibu
yaani mambo yake binafsi ajibiwe na Simba,huu ni upunguani. Ajibiwe na waliomtuma,Simba haikumtuma kukubali kufanya kazi bila mkataba, Simba haikumtuma kukubali kufanya kazi bila malipo na bra bra zingine zote
 
Press yake ya leo ni ya "Kimkakati' ya Kuichafua Klabu ya Simba baada ya Kutumwa na Maadui zetu wakubwa wa Jangwani na Chamanzi.

Nimemsikiliza Hoja zake zote na hakuna jipya sana sana ameshatuhakikishia ni kwanini ana udhaifu mkubwa wa Wanaume wengi wa Pemba, Lamu na Mombasa.

Kayakanyaga hivyo awe Mvumilivu mno.
Napinga hii hoja.Ukweli lazima usemwe.Hans POpe Zakaria kama ilivyo ada majibu Manara Haji
 
Jamaa alianza chokochoko wakati tunajiandaa na game ya kigoma TUKAMCHUNIA akajua tukimaliza tutamgusa tukatulia...TUPO KWENYE USAJILI anaanza uchoko hakuna haja ya kumjibu boys huyo refocus kwenye mambo yetu.
Huu ndio ushahidi wa kutumika na GSM wakati wa mechi na sasa AZAM. Anatakiwa kutokujibiwa kabisa
 
Mikia leo wanamkataa semaji la dunia 🤣🤣,si mlikuwa mnamshangilia wakati anaongea utumbo kwa wengine, amewarudia sasa endeleeni kushangilia
 
Back
Top Bottom