Simba SC Msiogope Kuwaiga Amazulu FC

Mm niliwaambia Side hana hela ila yeye ni dalali tu anatumiwa na watu kuipora Yanga na hili wamefanikishwa na walitumia excessive nguvu kuchukua makombe ili watimize adhima yao ovu, masikini yanga ileee inaangamia
Ina angamia na makombe basi sawa
 
Mm niliwaambia Side hana hela ila yeye ni dalali tu anatumiwa na watu kuipora Yanga na hili wamefanikishwa na walitumia excessive nguvu kuchukua makombe ili watimize adhima yao ovu, masikini yanga ileee inaangamia
Ukumbuke kutumia dawa za kupunguza maumivu pia kunywa maji mengi sana
 
Ukiona maumivu ya kichwa yanazidi kuwa makubwa,chemsha mwarobaini halafu kunywa maji yake ujazo wa Lita 3
 
Yaah!...kimataifa mpk uwe mchawi sanaa ndo unafika hata robo fainali
 
Naomba mjitahidi kunywa maji ya kutosha,huwa yanapunguza stress kwa kiasi flani hv na kupunguza msongo mkubwa wa mawazo unaopelekea kujiua mwenyewe
 
mkuu msimu huu Simba wamepoteza ubingwa kirahisi kwa ajili ya masihara na kujiona wana quality wakati ligi inaanza,wanatoa draw halafu wanasema tushawazoea yanga tutarudi kwenye nafasi yetu huwa wanaongoza ligi mwanzoni,kila draw kauli hiyo hiyo wakati mwenzako hapotezi na ana timu nzuri na commitment,mwisho wa siku yule hashuki na wewe unafungwa,kauli zingine tena ya wasemaji inawafanya wachezaji wajioni mafaza na washachukua ubingwa kumbe ligi ndo inaanza, Simba wanadharau ligi ya ndani wanaona kama watashinda tu ila wakienda kimataifa hadi tone la mwisho.
 
Mm niliwaambia Side hana hela ila yeye ni dalali tu anatumiwa na watu kuipora Yanga na hili wamefanikishwa na walitumia excessive nguvu kuchukua makombe ili watimize adhima yao ovu, masikini yanga ileee inaangamia
Yan makombe yakifika jangwan, bas hata ikiangamia
 
Mm niliwaambia Side hana hela ila yeye ni dalali tu anatumiwa na watu kuipora Yanga na hili wamefanikishwa na walitumia excessive nguvu kuchukua makombe ili watimize adhima yao ovu, masikini yanga ileee inaangamia
We kolo kwani malengo ya kuanzisha club ya mpira wa miguu unayajua?kama umeyakumbuka now basi jipige kifuani huku ukiimba kolo kolo kolo kolo kolo kolo kolo
 
We kolo kwani malengo ya kuanzisha club ya mpira wa miguu unayajua?kama umeyakumbuka now basi jipige kifuani huku ukiimba kolo kolo kolo kolo kolo kolo kolo
Kauli Zilezile ambazo mlikuwa mnawapigia simba kwamba mo kateka simba imekuwa ya familia . Haya sasa tuone mtasemaje kuhusu GSM kuiteka Yanga .
 
Unaswali jingine?
Watu km nyie ndio mnatumika km condom ili watu wafanikishe ajenda zao .

Yan unavyoongea utafikir ulikuwepo kabisa wakat anasajiliwa kwa billion moja!

Ushamba wenu ndio mtaji wa akina manara na enjia wenu wa mchongo.
 
Mbumbumbu ni mbumbumbu tuu. Na Barbara amejua kuwatumia kweli. Kawafanya wote muwe kama mpango kando wa Mo
 
Mbumbumbu ni mbumbumbu tuu. Na Barbara amejua kuwatumia kweli. Kawafanya wote muwe kama mpango kando wa Mo
Mlishaambiwa Mashabiki wa usukuleni ni hamnazo. Yaani wenye akili ni wawili tu . Kikwete na Sunday Manara.
 
Pale Msimbazi inatakiwa baadhi ya Wachezaji sasa tuwaage kwa heshima,tunashukuru kwa Mchango wao .

Uongozi ufanye juu chini usuke kikosi cha kuipambania timu wakati wote bila kuchoka.

Wasiende mbali hapo jirani tu Ethiopia kuna madogo wanapiga ball balaa...
 
yeah ni kweli ,ni vizuri hata wakawaleta wachezaji ambao hamna aliyetarajia , hata wachezaji wa Ethiopia wako poa tu . Msimu huu wachezaji waliopambana kwa timu nzima hawafiki 10, mfano Manula ,Kapombe ,Shabalala ,Kanuti ,Sakho,Inonga hawa ndo wachezaji wa kuaminika ,wengine wote walizingua sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…