Ngwasa Omuyaya
JF-Expert Member
- Feb 13, 2014
- 2,629
- 2,733
Ndiyo maana waliitwa Utopolo.Mchezaji anasajiliwa bar tena kwa coounter?
Washaaminishwa kwa Picha.
Na ugombea urais wamempa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo maana waliitwa Utopolo.Mchezaji anasajiliwa bar tena kwa coounter?
tupe source
Mm niliwaambia Side hana hela ila yeye ni dalali tu anatumiwa na watu kuipora Yanga na hili wamefanikishwa na walitumia excessive nguvu kuchukua makombe ili watimize adhima yao ovu, masikini yanga ileee inaangamiaNdiyo maana waliitwa Utopolo.
Washaaminishwa kwa Picha.
Na ugombea urais wamempa.
Ina angamia na makombe basi sawaMm niliwaambia Side hana hela ila yeye ni dalali tu anatumiwa na watu kuipora Yanga na hili wamefanikishwa na walitumia excessive nguvu kuchukua makombe ili watimize adhima yao ovu, masikini yanga ileee inaangamia
Ukumbuke kutumia dawa za kupunguza maumivu pia kunywa maji mengi sanaMm niliwaambia Side hana hela ila yeye ni dalali tu anatumiwa na watu kuipora Yanga na hili wamefanikishwa na walitumia excessive nguvu kuchukua makombe ili watimize adhima yao ovu, masikini yanga ileee inaangamia
Ukiona maumivu ya kichwa yanazidi kuwa makubwa,chemsha mwarobaini halafu kunywa maji yake ujazo wa Lita 3Lingine litoke wapi, hivi mtu kwa ulimbukeni wake kumshobokea mtu sijui karibu Aziz so and so..... na wakati yeye mwenyewe Aziz hajasema anafika, niongeze nn? Narudia tena Aziz Kii hawezi kwenda Uto labda yule kiungo wa timu ya Taifa ya Sudan Kusini Aziza Kaisi
Berkane ya BuzaHersy Said anamtumia Stephens Aziz Kii kuipora Yanga.
Ila ukweli Stephens amesajiliwa Berkane
Yaah!...kimataifa mpk uwe mchawi sanaa ndo unafika hata robo fainaliSimba wana masihara mengi ,kwa mwaka huu uliopita kwa wachezaji wa kigeni walio nao hata wagechukua wa ndani pure bila wa kigeni wangeshika hiyo nafasi ya pili ,wachezaji wa kigeni wamekuwa na mchango mdogo kwa ligi ya dani.
Yanga wasipozinguana halafu na hizo tetesi zikawa kweli watasumbua tena kwenye ligi ila kimataifa sahauni .
mkuu msimu huu Simba wamepoteza ubingwa kirahisi kwa ajili ya masihara na kujiona wana quality wakati ligi inaanza,wanatoa draw halafu wanasema tushawazoea yanga tutarudi kwenye nafasi yetu huwa wanaongoza ligi mwanzoni,kila draw kauli hiyo hiyo wakati mwenzako hapotezi na ana timu nzuri na commitment,mwisho wa siku yule hashuki na wewe unafungwa,kauli zingine tena ya wasemaji inawafanya wachezaji wajioni mafaza na washachukua ubingwa kumbe ligi ndo inaanza, Simba wanadharau ligi ya ndani wanaona kama watashinda tu ila wakienda kimataifa hadi tone la mwisho.Mkuu siku hizi umebadilika sana, sijui ni huu upepo wa Msimbazi ndio umekubadili au vipi. Siku hizi umepunguza utoaji wa maoni kishabiki kwa asilimia kubwa sana mpaka naangalia mara mbili mbili ID kama ni wewe kweli. Unaongea zaidi uhalisia
Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
Yan makombe yakifika jangwan, bas hata ikiangamiaMm niliwaambia Side hana hela ila yeye ni dalali tu anatumiwa na watu kuipora Yanga na hili wamefanikishwa na walitumia excessive nguvu kuchukua makombe ili watimize adhima yao ovu, masikini yanga ileee inaangamia
We kolo kwani malengo ya kuanzisha club ya mpira wa miguu unayajua?kama umeyakumbuka now basi jipige kifuani huku ukiimba kolo kolo kolo kolo kolo kolo koloMm niliwaambia Side hana hela ila yeye ni dalali tu anatumiwa na watu kuipora Yanga na hili wamefanikishwa na walitumia excessive nguvu kuchukua makombe ili watimize adhima yao ovu, masikini yanga ileee inaangamia
Kauli Zilezile ambazo mlikuwa mnawapigia simba kwamba mo kateka simba imekuwa ya familia . Haya sasa tuone mtasemaje kuhusu GSM kuiteka Yanga .We kolo kwani malengo ya kuanzisha club ya mpira wa miguu unayajua?kama umeyakumbuka now basi jipige kifuani huku ukiimba kolo kolo kolo kolo kolo kolo kolo
Watu km nyie ndio mnatumika km condom ili watu wafanikishe ajenda zao .Unaswali jingine?
Mbumbumbu ni mbumbumbu tuu. Na Barbara amejua kuwatumia kweli. Kawafanya wote muwe kama mpango kando wa MoWatu km nyie ndio mnatumika km condom ili watu wafanikishe ajenda zao .
Yan unavyoongea utafikir ulikuwepo kabisa wakat anasajiliwa kwa billion moja!
Ushamba wenu ndio mtaji wa akina manara na enjia wenu wa mchongo.
Mlishaambiwa Mashabiki wa usukuleni ni hamnazo. Yaani wenye akili ni wawili tu . Kikwete na Sunday Manara.Mbumbumbu ni mbumbumbu tuu. Na Barbara amejua kuwatumia kweli. Kawafanya wote muwe kama mpango kando wa Mo
mkuu msimu huu Simba wamepoteza ubingwa kirahisi kwa ajili ya masihara na kujiona wana quality wakati ligi inaanza,wanatoa draw halafu wanasema tushawazoea yanga tutarudi kwenye nafasi yetu huwa wanaongoza ligi mwanzoni,kila draw kauli hiyo hiyo wakati mwenzako hapotezi na ana timu nzuri na commitment,mwisho wa siku yule hashuki na wewe unafungwa,kauli zingine tena ya wasemaji inawafanya wachezaji wajioni mafaza na washachukua ubingwa kumbe ligi ndo inaanza, Simba wanadharau ligi ya ndani wanaona kama watashinda tu ila wakienda kimataifa hadi tone la mwisho.
Wewe na Nani?Sisi mashabiki wa simba mo na babra hatuwataki waondoke
Na nyinyi wote simba wenzangu.Wewe na Nani?
yeah ni kweli ,ni vizuri hata wakawaleta wachezaji ambao hamna aliyetarajia , hata wachezaji wa Ethiopia wako poa tu . Msimu huu wachezaji waliopambana kwa timu nzima hawafiki 10, mfano Manula ,Kapombe ,Shabalala ,Kanuti ,Sakho,Inonga hawa ndo wachezaji wa kuaminika ,wengine wote walizingua sanaPale Msimbazi inatakiwa baadhi ya Wachezaji sasa tuwaage kwa heshima,tunashukuru kwa Mchango wao .
Uongozi ufanye juu chini usuke kikosi cha kuipambania timu wakati wote bila kuchoka.
Wasiende mbali hapo jirani tu Ethiopia kuna madogo wanapiga ball balaa...