Simba SC msiwaamini Yanga SC na 'Mind Game' yao kuwa Saido na Ambundo wamefukuzwa Kambini

Hata Mayele, Djuma Shaban,Aucho ,Farid na Feisal Salum na wenyewe walitoroka kambini ila ndo wakasemehewa wotewote kasoro Ambundo na Saidoo wakafanywa mbuzi wa kafara....kwahyo kuna mgogoro mkubwa sana kwasasa ndani ya timu

Ni wakati wa Simba kurelax na kupunguza presha na kushinda hii Game bila kutumia nguvu sana
Hatari xn ilitakiwa watende haki kote kote xio matabaka ya ubaguzi
 
Ukweli ni kwamba 'hawajafukuzwa' Kambini tena wapo na ndiyo wanapewa Mazoezi ya maana na 'Maalum' ya Kucheza na Simba SC hiyo Jumamosi tarehe 28 May, 2022 pale CCM Kirumba.

Yanga SC hivi sasa wameamua Kujikita zaidi na kufanya Propaganda na kutumia 'Mind Game' kuelekea mechi yao na Simba SC ili Kutufunga Kisaikolojia baada ya kugundua kuwa Kiuchawi na Kimchezo (hasa Uwanjani) wameshashindwa na Simba SC itashinda bila wasiwasi kwani Kazi Maalum imeshamalizika na Watajuta.
tangu lini yanga iwazidi uchawi Simba?
 
Shukrani mganga wetu, hiyo siku mitavaa jezi ya MO FOUNDATION!
 
Huyo Saido siku akipata stroke uwanjani ndio watajua amezeeka sana.

IMG_0249.jpg

IMG_0248.jpg
 
Ukweli ni kwamba 'hawajafukuzwa' Kambini tena wapo na ndiyo wanapewa Mazoezi ya maana na 'Maalum' ya Kucheza na Simba SC hiyo Jumamosi tarehe 28 May, 2022 pale CCM Kirumba.

Yanga SC hivi sasa wameamua Kujikita zaidi na kufanya Propaganda na kutumia 'Mind Game' kuelekea mechi yao na Simba SC ili Kutufunga Kisaikolojia baada ya kugundua kuwa Kiuchawi na Kimchezo (hasa Uwanjani) wameshashindwa na Simba SC itashinda bila wasiwasi kwani Kazi Maalum imeshamalizika na Watajuta.
Acha uongo saido kaishaondoka kaenda burundi kwa ajili ya timu ya taifa
 
Huyo Saido siku akipata stroke uwanjani ndio watajua amezeeka sana.
Na kagere akipata kiharusi uwanjani ndo ndo tutajua vichwa vyenu ni kabati la kuhifadhia meno na bunge kuangalia upya sheria za utumikishwaji wa wazee
 
Huyo Saido siku akipata stroke uwanjani ndio watajua amezeeka sana.
Angalizo hili limfikie babu wawa,babu onyango na babu kagere,babu nyoni siku hizi apati namba mara kwa mara so wamuangalie sana huko mazoezi asije kupata stroke
 
We mkali asee kwa propoganda huo uchawi wa moto katikati ua uwaja au?inawezekana wale jamaa walikuwa sio simba[emoji1787][emoji1787]
 
Ukweli ni kwamba 'hawajafukuzwa' Kambini tena wapo na ndiyo wanapewa Mazoezi ya maana na 'Maalum' ya Kucheza na Simba SC hiyo Jumamosi tarehe 28 May, 2022 pale CCM Kirumba.

Yanga SC hivi sasa wameamua Kujikita zaidi na kufanya Propaganda na kutumia 'Mind Game' kuelekea mechi yao na Simba SC ili Kutufunga Kisaikolojia baada ya kugundua kuwa Kiuchawi na Kimchezo (hasa Uwanjani) wameshashindwa na Simba SC itashinda bila wasiwasi kwani Kazi Maalum imeshamalizika na Watajuta.
Simba itashinda njaa
 
Back
Top Bottom