Simba SC msiwaamini Yanga SC na 'Mind Game' yao kuwa Saido na Ambundo wamefukuzwa Kambini

Hatari xn ilitakiwa watende haki kote kote xio matabaka ya ubaguzi
 
tangu lini yanga iwazidi uchawi Simba?
 
Shukrani mganga wetu, hiyo siku mitavaa jezi ya MO FOUNDATION!
 
Acha uongo saido kaishaondoka kaenda burundi kwa ajili ya timu ya taifa
 
Huyo Saido siku akipata stroke uwanjani ndio watajua amezeeka sana.
Na kagere akipata kiharusi uwanjani ndo ndo tutajua vichwa vyenu ni kabati la kuhifadhia meno na bunge kuangalia upya sheria za utumikishwaji wa wazee
 
Huyo Saido siku akipata stroke uwanjani ndio watajua amezeeka sana.
Angalizo hili limfikie babu wawa,babu onyango na babu kagere,babu nyoni siku hizi apati namba mara kwa mara so wamuangalie sana huko mazoezi asije kupata stroke
 
We mkali asee kwa propoganda huo uchawi wa moto katikati ua uwaja au?inawezekana wale jamaa walikuwa sio simba[emoji1787][emoji1787]
 
Simba itashinda njaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…